excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,862
mkuu kwani huko waendaje aisee? mbona naanza kuvutiwa? nipe maelezo aisee!Mleta mada pole sana na usikate tamaa. Ukiona vipi kajaribu kupiga box ughaibuni
mkuu kwani huko waendaje aisee? mbona naanza kuvutiwa? nipe maelezo aisee!Mleta mada pole sana na usikate tamaa. Ukiona vipi kajaribu kupiga box ughaibuni
mkuu kwani huko waendaje aisee? mbona naanza kuvutiwa? nipe maelezo aisee!
ahaaa! basi ngoja nimtafute mkuu nyani ngabu..!Wasiliana na nyani ngabu
Wasiliana na nyani ngabu
ahaaa! basi ngoja nimtafute mkuu nyani ngabu..!
I got the hookup. Holla if you hear me.
mkuu umeongea vyema, watu wengine ujue wanaongea tu hapa jukwaani lakini ukweli wanaujua huko maofisiniSikubaliani na wewe hata kidogo...kazi haipimwi kwa mtu kujua kiingereza na kama alikua hajui kiingereza alifikaje chuo...na kama kiingereza ndio kujua kazi wachina hawa wasingepata tenders na ajira nchi za kiafrika kwani asilimia 90 wanazungumza kichina, na pia ili suala halipingiki kazi ni kuhonga au kua na God Father hapa bongo au tuambie hao watu uliobahatika kuwafanyia interview hakuna wengine umeambiwa na mkubwa wako hawa wape kazi ingali hata kabla kukutana nao wewe, UONGOOO!??Tusidanganyane bwana wee mpe mtu moyo wa kuendelea kutafuta ila usimwambie lugha ya kiingereza ndio tatizo mie nakataa mara 800!!!
Mhitimu wa chuo kikuu unaandika 'kipengere'?
Poleh jmn,usikate tamaa,pray hard ipo siku Mungu atajibu...pia waweza omba internship au ku-volunteer kazi,pia kama hali inaruhusu endelea na master's,biashara nk...
mi nishafanyaga interview kadhaa bila mafanikio but nikaja kupata sehemu mwisho wa siku
Kwa "iman yangu",kukata tamaa ni kuclose the chapter,expect no miracle ndugu yangu. Ila km kwel wataka miujiza ya Mwenyezi Mungu,play ur part,tena play it well,,nan anajuta kusoma huku dunian? Usingesoma ungekuwaje labda?millionaire?hahaaa,acha hayo ww,ebu mshukuru Mungu,af endelea na maisha,,acha woga
usikate tamaa namana hiyo!!na wala usijilaum sana ndugu yangu Mungu anamalengo yake juu yako na wala si ya kukaa mda mrefu bila kazi ambayo yana kupelekea wewe kukata tamaa nakuona kwamba Mungu kakuacha NO!!ipo siku mambo yatakua mazuri zaidi ya ulivokua unafikiria hicho ni kipimo cha maisha just standup struggle then every thing gonna be alright,don't give up kirahisi ivyo mkubwa.
Mkuu hivi wewe hujawahi kukosea hata siku moja?
Kwa nini tunakuwa hivi watanzania?
Mtoa mada anahitaji ushauri anaonekana amekata tamaa sasa wewe unakuja hapa kuangalia makosa ya spelling kitu ambacho hata wewe unaweza kosea.
Inakuwaje Mbishi 4 real halafu unakata tamaa katika mihangaiko ya dunia hii,Jina ulilotumia ni kinyume kabisa na tabia uliyo nayo.Muombe Mungu usikate tamaa na ukishapata hiyo kazi endelea kumtumikia Mungu siyo kuchota mihela hata ya watoto yatima kwa kuhongea mabinti,sawa!!! :hat:
Habari zenu ndugu,
Ni kipindi kirefu nimekua nikiangaika kutafuta ajira pasipo mafanikio.
Nimefanya interview zakutosha lakini nimekua nikiambulia ahadi tu za kupigiwa simu toka kwa ma HR ambazo hazina ukweli wowote.
Kitu kikubwa kinachotukosesha ajira sisi vijana ni kipengere cha experience ambapo waajiri wengi wanahitaji uzoefu usiopungua miaka mitatu na kuendelea.
Swali ni je nawezaje kupata huo uzoefu wakati ofisi nyingi hazitaki kuniajiri na hata ninapoomba kujitolea naambiwa nafasi hakuna ?
Kwa kifupi ndugu zangu nimekata tamaa kabisa kama siku moja nitakuja ajiriwa na najutia miaka mitatu niliyoipoteza chuoni pamoja na ada niliyoitumia kwani laiti ningejua ni bora ile ada ningeitumia kwenye kujiajiri kuliko kupoteza pesa na muda wangu.
Yani hapa nasubiri miujiza ya mwenyezi Mungu tu kwakweli.
Eeeh Mungu tuangalie waja wako,tuko kwenye kipindi kigumu sana.
Kweli mkuu Dread, well said. Mimi pia limenikwaza sana hilo. Mtu anaacha kuangalia tija ya mada, yeye anaspot-check spelling errors??!!! Dump-A.s.s kabisa. Alafu si ajabu hao ni mijitu mizima, but kichwani iced-brain.
Katika lugha zote duniani kuna kitu kinaitwa 'Common Mistakes'... mfano mtu kutamka/kutumia 'on' panapostahili 'in', au mtu kutamka/kutumia 'into' panapostahili 'onto', au mtu kutamka 'vizuli' badala ya 'vizuri', n.k. Pia kuna kuathiriwa na matamshi ya lugha-mama. Watanzania wengi tu tunazungumza kiswahili, lakini kwenye kukiandikia tunafanya common mistakes kibao. Mfano, watu wengi sana huchanganya kati ya 'l' na 'r'.
So kwa mimi binafsi, namshangaa sana 'msomi' anaedharau (to under-value) elimu ya mtu mwingine on the basis of pronounciation/spelling errors.