Najuta Kusoma hadi chuo Kikuu

Najuta Kusoma hadi chuo Kikuu

Habari zenu ndugu,

Ni kipindi kirefu nimekua nikiangaika kutafuta ajira pasipo mafanikio.

Nimefanya interview zakutosha lakini nimekua nikiambulia ahadi tu za kupigiwa simu toka kwa ma HR ambazo hazina ukweli wowote.

Kitu kikubwa kinachotukosesha ajira sisi vijana ni kipengere cha experience ambapo waajiri wengi wanahitaji uzoefu usiopungua miaka mitatu na kuendelea.

Swali ni je nawezaje kupata huo uzoefu wakati ofisi nyingi hazitaki kuniajiri na hata ninapoomba kujitolea naambiwa nafasi hakuna ?

Kwa kifupi ndugu zangu nimekata tamaa kabisa kama siku moja nitakuja ajiriwa na najutia miaka mitatu niliyoipoteza chuoni pamoja na ada niliyoitumia kwani laiti ningejua ni bora ile ada ningeitumia kwenye kujiajiri kuliko kupoteza pesa na muda wangu.

Yani hapa nasubiri miujiza ya mwenyezi Mungu tu kwakweli.

Eeeh Mungu tuangalie waja wako,tuko kwenye kipindi kigumu sana.

Hivi ni kweli unayoyasema????? Hivi kuna mtu mwenye akili timamu akaidhalilisha elimu ya chuo kikuu???
Lakini inawezekana .............pengine ungekuwa mmbangaizaji tu. Tatizo la vijana wa TZ wanapenda wawekewe kila kitu kwenye sahani.
Niliwahi kuelezea tukio nililoliona kwa kijana mmoja ambaye ana Bcom ingawa mwanzoni nilimuona wa kawaida tu.
Ilikuwa hivi;- Nilifikia kwenye hoteli ya 680 sasa asubuhi kwa vile nilikuwa ninaenda mkutanoni nilikwenda kusafisha viatu.
Katika zungukazunguka yangu maeneo ya karibu tu nikakuta kijana anasafisha viatu.
Nilipofika nilikuta ana mteja mwingine hivyo alinikaribisha na kuniuliza kama ninaweza kungoja kwa kusoma magazeti ya asubuhi? kwa vile sikua na haraka sana nilikubali kungojea.
Ilipofika zamu yangu nikamsifia kwa ubunifu wake naye alinijibu ifuatavyo
'Hapa kenya kama huna ndugu mwenye nafasi kupata kazi ni ngumu sana. yeye alimaliza chuo kikuu kama miaka 3 iliyopita. alikuwa na vision ya kufanikiwa kibiashara lakini hakuwa na mtaji kwa sababu anatoka kwenye familia maskini.
Hilo halikumkatisha tamaa ila aliona ni bora aanze na kitu ambacho kitamfanya afikie malengo yake.
Aliamua kufungua kiosk ya kusafisha viatu na kipindi kile aliniambia anavyo viosk kama 5 hivi akaweka ndugu zake.
kutokana na mradi huo alikuwa na uwezo ya kupata faida ya Ksh. 3,000 baada ya kuondoa gharama za uendeshaji.
na mipango yake ni kuwa mwisho wa mwaka anataka kuanzisha mradi wa mgahawa wa kisasa pale karibu na chuo kikuu.
Njozi zake ni kuwa na biashara mbali mbali.
Kwa aina ya vijana kama hawa, mwisho wa siku hupata mafanikio makubwa lakini kwa sampuli ya aina yako ni kulialia kama mtoto mdogo na mwisho kukata tamaa na kumfanya kila aliyefanikiwa ni adui yako.
 
Si ulimsikia Bwana Saliver alisema shemeji atausaini tu na mingine pia,never know hata jana anaweza kuwa ameusaini

Ila watu wa Marekani watampa tuzo bwana mkubwa kwa kuipromoti Dolari nasikia hadi mwisho wa mwaka inaweza kufika sh 5000!
 
Habari zenu ndugu,

Ni kipindi kirefu nimekua nikiangaika kutafuta ajira pasipo mafanikio.

Nimefanya interview zakutosha lakini nimekua nikiambulia ahadi tu za kupigiwa simu toka kwa ma HR ambazo hazina ukweli wowote.

Kitu kikubwa kinachotukosesha ajira sisi vijana ni kipengere cha experience ambapo waajiri wengi wanahitaji uzoefu usiopungua miaka mitatu na kuendelea.

Swali ni je nawezaje kupata huo uzoefu wakati ofisi nyingi hazitaki kuniajiri na hata ninapoomba kujitolea naambiwa nafasi hakuna ?

Kwa kifupi ndugu zangu nimekata tamaa kabisa kama siku moja nitakuja ajiriwa na najutia miaka mitatu niliyoipoteza chuoni pamoja na ada niliyoitumia kwani laiti ningejua ni bora ile ada ningeitumia kwenye kujiajiri kuliko kupoteza pesa na muda wangu.

Yani hapa nasubiri miujiza ya mwenyezi Mungu tu kwakweli.

Eeeh Mungu tuangalie waja wako,tuko kwenye kipindi kigumu sana.

Tafuta kazi ambazo zinahitaji multidisciplinary background kwani zinahitaji transfer of skills kama thinking, analytical etc. Halafu suala la experience, toa experience ya maisha yako. Mfano, budgeting skills - for sure you have been setting your budget and monitoring the expenditure when you were doing your bachelor programme or maybe you had been a treasurer of a certain association; leadership experience could be related to being a class representative and the like.
 
Pole, lakini na wewe utakuwa na tatizo la kitabia hani umepewa likes 44,wewe hujatoa hata moja? From that ninaweza nikaku judge labda wewe ni mchoyo na ndio sababu wenzako hawakupi michongo ya kazi.

Hahahahahahahah jamani kama ndo hivyo msininyime LIKE nami ntawapa wala mimi so mchoyo
 
unajuta mwenyewe kusoma chuo kikuu, mi sina kazi bado ila najivunia sana kufika chuo. Anyhow, hatukusoma mpaka chuo kikuu ili tukimaliza tukaajiriwe, suala la ajira baada ya kusoma ni moja tu ya faida ya kusoma.... "acha kujutia upuuzi wewe na kama majuto yako unayaona yana nguvu sana usingeandika hii mada bali ungeenda kuvichoma moto vyeti vya chuo kikuu"...

jamaa ana stress si unajua ajira ni ngumu
 
Assume kama ndo unataka kujiunga shule kusanya ada anza biashara uone kama ji rahisi hivo....
 
Hivi ni kweli unayoyasema????? Hivi kuna mtu mwenye akili timamu akaidhalilisha elimu ya chuo kikuu???
Lakini inawezekana .............pengine ungekuwa mmbangaizaji tu. Tatizo la vijana wa TZ wanapenda wawekewe kila kitu kwenye sahani.
Niliwahi kuelezea tukio nililoliona kwa kijana mmoja ambaye ana Bcom ingawa mwanzoni nilimuona wa kawaida tu.
Ilikuwa hivi;- Nilifikia kwenye hoteli ya 680 sasa asubuhi kwa vile nilikuwa ninaenda mkutanoni nilikwenda kusafisha viatu.
Katika zungukazunguka yangu maeneo ya karibu tu nikakuta kijana anasafisha viatu.
Nilipofika nilikuta ana mteja mwingine hivyo alinikaribisha na kuniuliza kama ninaweza kungoja kwa kusoma magazeti ya asubuhi? kwa vile sikua na haraka sana nilikubali kungojea.
Ilipofika zamu yangu nikamsifia kwa ubunifu wake naye alinijibu ifuatavyo
'Hapa kenya kama huna ndugu mwenye nafasi kupata kazi ni ngumu sana. yeye alimaliza chuo kikuu kama miaka 3 iliyopita. alikuwa na vision ya kufanikiwa kibiashara lakini hakuwa na mtaji kwa sababu anatoka kwenye familia maskini.
Hilo halikumkatisha tamaa ila aliona ni bora aanze na kitu ambacho kitamfanya afikie malengo yake.
Aliamua kufungua kiosk ya kusafisha viatu na kipindi kile aliniambia anavyo viosk kama 5 hivi akaweka ndugu zake.
kutokana na mradi huo alikuwa na uwezo ya kupata faida ya Ksh. 3,000 baada ya kuondoa gharama za uendeshaji.
na mipango yake ni kuwa mwisho wa mwaka anataka kuanzisha mradi wa mgahawa wa kisasa pale karibu na chuo kikuu.
Njozi zake ni kuwa na biashara mbali mbali.
Kwa aina ya vijana kama hawa, mwisho wa siku hupata mafanikio makubwa lakini kwa sampuli ya aina yako ni kulialia kama mtoto mdogo na mwisho kukata tamaa na kumfanya kila aliyefanikiwa ni adui yako.

unajua kwanini mtu anajuta ? anajuta kwa sababu muda mwingi amepoteza kutafuta elimu alafu hapati return inayostahili , ndio maana anajuta , mfano huyu jamaa anayefanya shoe shine angetumia resources nyingi alizotumia kupata elimu kuinvestment kwenye biashara yake miaka mitano nyuma angekuwa sasahivi yuko mbali, kuwa shoe shine haitajiki kuwa na degree/shahada
 
Habari zenu ndugu,

Ni kipindi kirefu nimekua nikiangaika kutafuta ajira pasipo mafanikio.

Nimefanya interview zakutosha lakini nimekua nikiambulia ahadi tu za kupigiwa simu toka kwa ma HR ambazo hazina ukweli wowote.

Kitu kikubwa kinachotukosesha ajira sisi vijana ni kipengere cha experience ambapo waajiri wengi wanahitaji uzoefu usiopungua miaka mitatu na kuendelea.

Swali ni je nawezaje kupata huo uzoefu wakati ofisi nyingi hazitaki kuniajiri na hata ninapoomba kujitolea naambiwa nafasi hakuna ?

Kwa kifupi ndugu zangu nimekata tamaa kabisa kama siku moja nitakuja ajiriwa na najutia miaka mitatu niliyoipoteza chuoni pamoja na ada niliyoitumia kwani laiti ningejua ni bora ile ada ningeitumia kwenye kujiajiri kuliko kupoteza pesa na muda wangu.

Yani hapa nasubiri miujiza ya mwenyezi Mungu tu kwakweli.

Eeeh Mungu tuangalie waja wako,tuko kwenye kipindi kigumu sana.

Hata kupiga debe umekosa?

Katafute leseni uwe dereva.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom