Najuta Kusoma hadi chuo Kikuu

Najuta Kusoma hadi chuo Kikuu

Kama chuo kikuu unalilia ajira, yaani hujafahamu namna ya kupambana na maisha, basi kuna matatizo kwenye mfumo wetu wa elimu. Wadau wa elimu wakiambiwa mfumo una matatizo wanabadilisha mfumo waufaulu. Kazi kweli kweli. Angelalamika darasa la saba walau tungefikiri lakini sijaona darasa la saba analalamika ina maana mfumo unaharibu watu wanapoingia sekondari
 
Tatizo la ajira nchini ni kubwa ila mimi nitapingana na mawazo ya wadau kidogo,mimi nimebaahatika kuwafanyia usahili zaidi ya watanzania elfu mbili mpaka sasa na nimegundua kuwa kuna tatizo kubwa katika mifumo yetu ya elimu,unakuta mtu ana masters lakini ukimuuliza maswali rahisi tu yanayolenga kupima uwezo wake binafsi inasikitisha,wengine lugha ya kiingereza ambayo ni msingi kwa kampuni nyingi za binafsi ni matatizo
My take is ukikutana na mtu aliyeomba kazi sehemu zaidi ya tano bila kupata ana matatizo na wewe unaejuta unaweza kuwa mmoja wao.
Mtu kubali kuanza chini ujenge uzoefu na utagrow in three years katika level unayotaka nina mifano hai kabisa,kama huna habari makampuni yanatumia mamilioni ya shilingi kwenda nchi za nje kutafuta watanzania wanaosoma huko kuja kufanya kazi tanzania na eanachukua fresh graduates tusilalamike bila sababu

mkuu Kimilanzoka (mmeza nyoka), your comment has some elements of truth as regards to employment market nchini Tz. But hapo kwenye red, sikubaliani napo to the maximum! Kwa maoni yangu, Lack of ideal competence (english capacity inclusive) sio kikwazo/tatizo pekee kuhusu ajira kwa vijana. Vipi kuhusu rushwa na kujuana/connections, don't they contribute to narrowing-down the fair accessibility of employment-opportunities to job-seekers ambao ni watoto wa wakulima???

Wasahili wengi tu (sio wote) huomba rushwa kwa job-seekers (au job-seekers wenyewe huamua kutoa rushwa on their will kwa sababu tu ya wingi wa applicants); na vipi kuhusu vimemo yva maboss wenu?

Tatizo la ajira bongo ni mlolongo wa factors nyingi sana mkuu, not only competence(interectual capacity)-based, as per your comment.
 
Ili upate kazi mambo haya 3 ni bora ukayajua.
1.Unajuana na nani?
2.Umeenda/umeroga kiasi gani?
3.Unamtegemea/unamwomba Mungu kiasi gani?
Vip ww je umepitia lipi kati ya haya?
 
Pole, lakini na wewe utakuwa na tatizo la kitabia hani umepewa likes 44,wewe hujatoa hata moja? From that ninaweza nikaku judge labda wewe ni mchoyo na ndio sababu wenzako hawakupi michongo ya kazi.

heheh like za JF na kazi vina uhusiano gani?? Pia ukitumia simu 'wapsite' hzo like unatoaje??
 
Kama chuo kikuu unalilia ajira, yaani hujafahamu namna ya kupambana na maisha, basi kuna matatizo kwenye mfumo wetu wa elimu. Wadau wa elimu wakiambiwa mfumo una matatizo wanabadilisha mfumo waufaulu. Kazi kweli kweli. Angelalamika darasa la saba walau tungefikiri lakini sijaona darasa la saba analalamika ina maana mfumo unaharibu watu wanapoingia sekondari

unemployment ni worlwide ,tena huku Tanzania i can say it has not hit us at it's best kama nje...nmesoma this fact sehemu :US degree holders wengi sanaaa kazi wanazofanya sasaa,uuh..janitors,waiters nk acha yani..bongo degree holder atawezaa??
Kuna haja ya kujiendeleza kwa bidii kwenye kazi za kijasiriamali...au ukiwa kwenye elimu basi jiendeleze mana degree si tishio tena sikuhizi
 
heheh like za JF na kazi vina uhusiano gani?? Pia ukitumia simu 'wapsite' hzo like unatoaje??

Unaweza kutambua tabia ya mtu,niamini. Unless ana "wapsite" otherwise mimi ninam consider kama mchoyo.:eyebrows:
 
Pole kaka.cha kufanya usichague kazi fanya yoyote kwani mwenye nacho hupewa zaidi.
 
pole, jichanganye sana, kabla ya kuomba kazi, halafu jitahidi uwe unaudhuria bar, hata kunywa soda, uwa kuna dili nyingi sana za kazi. niamini mimi.
 
Ili upate kazi mambo haya 3 ni bora ukayajua.
1.Unajuana na nani?
2.Umeenda/umeroga kiasi gani?
3.Unamtegemea/unamwomba Mungu kiasi gani?
Vip ww je umepitia lipi kati ya haya?

Namba 1 na 2 hapo juu kwangu hayana nafasi. Daima nimetumia namba 3 kwa furaha na amani nina mshukuru MUNGU kwa kuniwezesha hapa nilipo sio tu nimejiajri bali kwa uwezo wake Mungu nimeajiri zaidi ya watu 25
 
Tatizo la elimu yetu ipo ili watu waajiriwe tu...jamani matajiri wamejiajiri karibuni wote...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom