Najuta Kusoma hadi chuo Kikuu

Najuta Kusoma hadi chuo Kikuu

Kwa maandishi haya ni wazi wengi bado hatujui sababu hasa za kusoma. Tunafikiria kwenda kwenye pattern waliyopita wazee wetu wakati wa uhuru. Times change...we must change and face head on our challenges. Ningekuwa wewe ningeshukuru elimu imepanua wigo wa yale nayoweza kufanya. If you have taken a defeated position already, whose problem is that?
 
Habari zenu ndugu,

Ni kipindi kirefu nimekua nikiangaika kutafuta ajira pasipo mafanikio.Nimefanya interview zakutosha lakini nimekua nikiambulia ahadi tu za kupigiwa simu toka kwa ma hr ambazo hazina ukweli wowote.Kitu kikubwa kinachotukosesha ajira sisi vijana ni kipengere cha experience ambapo waajiri wengi wanahitaji uzoefu usiopungua miaka mitatu na kuendelea.Swali ni je nawezaje kupata huo uzoefu wakati ofisi nyingi hazitaki kuniajiri na hata ninapoomba kujitolea naambiwa nafasi hakuna ?kwa kifupi ndugu zangu nimekata tamaa kabisa kama siku moja nitakuja ajiriwa na najutia miaka mitatu niliyoipoteza chuoni pamoja na ada niliyoitumia kwani laiti ningejua ni bora ile ada ningeitumia kwenye kujiajiri kuliko kupote pesa na muda wangu.
Yani hapa nasubiri miujiza ya mwenyezi Mungu tu kwakweli.
Eeeh Mungu tuangalie waja wako,tuko kwenye kipindi kigumu sana.

Kwa "iman yangu",kukata tamaa ni kuclose the chapter,expect no miracle ndugu yangu. Ila km kwel wataka miujiza ya Mwenyezi Mungu,play ur part,tena play it well,,nan anajuta kusoma huku dunian? Usingesoma ungekuwaje labda?millionaire?hahaaa,acha hayo ww,ebu mshukuru Mungu,af endelea na maisha,,acha woga
 
usikate tamaa namana hiyo!!na wala usijilaum sana ndugu yangu Mungu anamalengo yake juu yako na wala si ya kukaa mda mrefu bila kazi ambayo yana kupelekea wewe kukata tamaa nakuona kwamba Mungu kakuacha NO!!ipo siku mambo yatakua mazuri zaidi ya ulivokua unafikiria hicho ni kipimo cha maisha just standup struggle then every thing gonna be alright,don't give up kirahisi ivyo mkubwa.
 
Ni ugonjwa wetu ule ule wa kila siku wa kufanya mambo kwa mkumbo na utamaduni, bila kujiuliza.

Na kutumaini tu mambo yataenda sawa.

Dunia inabadilika, enzi za wazee wetu ukimaliza chuo cha East African Community una guarantee ya kupewa kazi nzuri na kufanya shirika hilo hilo kwa miaka 35 mpaka unastaafu zimepita na hazirudi.

Mkuu wewe unasema uoga wakati uko unapiga box majuu, si ungebaki kama sio muoga

Shida hufunza maarifa
 
habari zenu ndugu,

ni kipindi kirefu nimekua nikiangaika kutafuta ajira pasipo mafanikio.nimefanya interview zakutosha lakini nimekua nikiambulia ahadi tu za kupigiwa simu toka kwa ma hr ambazo hazina ukweli wowote.kitu kikubwa kinachotukosesha ajira sisi vijana ni kipengere cha experience ambapo waajiri wengi wanahitaji uzoefu usiopungua miaka mitatu na kuendelea.swali ni je nawezaje kupata huo uzoefu wakati ofisi nyingi hazitaki kuniajiri na hata ninapoomba kujitolea naambiwa nafasi hakuna ?kwa kifupi ndugu zangu nimekata tamaa kabisa kama siku moja nitakuja ajiriwa na najutia miaka mitatu niliyoipoteza chuoni pamoja na ada niliyoitumia kwani laiti ningejua ni bora ile ada ningeitumia kwenye kujiajiri kuliko kupoteza pesa na muda wangu.
Yani hapa nasubiri miujiza ya mwenyezi mungu tu kwakweli.
Eeeh mungu tuangalie waja wako,tuko kwenye kipindi kigumu sana.

mimi nilimaliza chuo cha idm -mzumbe mwaka july 1994: Nimepata kazi mwaka 1996. Nilihangaika kama wewe mpaka nikawanafikiri kunasiku nitakuta barua zangu za maombi nitakuta wamefundia maandazi. Nadahani uzoefu huu unaweza kukusaidia kutokata tamaa
 
Mhitimu wa chuo kikuu unaandika 'kipengere'?

Muda fulani huwa mnakosea kukosoa kila kitu, aliendika hivyo ni binadamu huenda alikosea tu bahati mbaya. Kwani wewe hujui kwamba watanzania wengi tumeathiriwa na mother tongue? Huyo anaweza kuwa mkurya au muhaya. Nilichogundua humu kuna watu mna dharau sana na kujiona nyinyi ni perfect hamkosei na hamjawahi kosea.
 
Ndugu yangu acha fikra mgando harafu usingefika chuo kikuu nakwambia ndio ungejuta zaid kwa sabb kutofika chuo ungeona ndio sbb ya kutofankiwa
 
mimi nilimaliza chuo cha idm -mzumbe mwaka july 1994: Nimepata kazi mwaka 1996. Nilihangaika kama wewe mpaka nikawanafikiri kunasiku nitakuta barua zangu za maombi nitakuta wamefundia maandazi. Nadahani uzoefu huu unaweza kukusaidia kutokata tamaa

hata miaka 20 iliyopita mambo ya kusota yalikuwepo.
 
Bi kiroboto hana uzoefu sana ila anapiga mkwanja wa maaana
 
Acha kulia lia kama marioo, komaa na nyuzi.

Hapo bold acha ku-generalise, watu? Umewaona wangapi zaidi ya mie tu? Mother tongue hadi kuandika? Ingekuwa kutamka hapo sawa, kuandika hakuna maza tang'i, ni faza tang'i tu ambayo ni kujifunza kuandika kwa ufasaha.

Muda fulani huwa mnakosea kukosoa kila kitu, aliendika hivyo ni binadamu huenda alikosea tu bahati mbaya. Kwani wewe hujui kwamba watanzania wengi tumeathiriwa na mother tongue? Huyo anaweza kuwa mkurya au muhaya. Nilichogundua humu kuna watu mna dharau sana na kujiona nyinyi ni perfect hamkosei na hamjawahi kosea.
 
Acha kulia lia kama marioo, komaa na nyuzi.

Hapo bold acha ku-generalise, watu? Umewaona wangapi zaidi ya mie tu? Mother tongue hadi kuandika? Ingekuwa kutamka hapo sawa, kuandika hakuna maza tang'i, ni faza tang'i tu ambayo ni kujifunza kuandika kwa ufasaha.

Hakuna anayelia hapa, sijageneralize chochote hapo, watu wengi humu huwa kazi yenu kuangalia mistakes tu, hili tatizo nshaliona sana ndo mana nasema mpo wengi sana wenye dharau.

Halafu hiyo mother tongue hata kwenye kuandika huweza kuathiri mtu.

Naomba unielewe sijaaema tatizo ni mother tongue pekee, ila anaweza akawa amekosea kibinadam.

Kwan wewe huwa hukosei???

Sio vizuri hata kama ungekuwa wewe umeweka mada unahitaji ushauri halafu mtu anakuja na dharau kwa kosa dogo la spelling haipendezi hata kidogo.
 
Mkuu hivi wewe hujawahi kukosea hata siku moja?
Kwa nini tunakuwa hivi watanzania?
Mtoa mada anahitaji ushauri anaonekana amekata tamaa sasa wewe unakuja hapa kuangalia makosa ya spelling kitu ambacho hata wewe unaweza kosea.
U have point, sometimes ni kweli badala ya kuona context kwa ujumla na mtu yuko katika status gani ni vzr kuchuja ushauri wetu. Huenda wengine Jf inawaokoa kuahirisha destiny mbaya just kwa kushauriwa context na sio contents
 
Nashukuru sana mkuu kwa kulitambua hilo.

Haipendezi hata kidogo mleta mada si mjinga kueleza shida yake humu anajua atapata mawazo mazuri, lakini cha ajabu watu wanakuja kukosoa spelling
 
Mleta mada pole sana na usikate tamaa. Ukiona vipi kajaribu kupiga box ughaibuni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom