Najuta kumuonea huruma na kutembea nae

Natafuta mtaalamu wa kuitoa akiwa mbali.
OFISA:Mtalaka ni mtamu sanaaaaa na utamu wao hua hauishi wala hauchuji naongea kutokana na experience, weye lea mimba tuu ila ndani usimuingize maana km mlipelekana Bakwata na talaka mkapeana yakupasa aolewe upya na aachike ndio umuoe tena ss na hilo tumbo nani atamuoa? la sivyo ukiamua kumrudisha ndani mtakua mnaendelea kuzini km mlivyozini ukampa kitumbo ndiiiiii
 
Inaonekana unaishi pekeyako ssyvi, sasa, vuta huo mzigo kaa nao hom,
Kisha start checking her better side, usikalie kuangalia mapungufu yake tuu akati hata wewe una yako, tena siajabu mabaya kuliko yake.
Utajua kua ulimuacha kimakosa tu latter
 
jamani wanaume! baada ya miaka minne ya talaka mnakutana mnafanya kavu?!?! ni kweli maambukizi mengi yanatokea katika kupasha viporo zaidi ya mahusiano mapya. kwa hilo tumbo hakuna jinsi lea tu na ile % anayotaka uidabo
 
Na safari hii atakupelekesha balaamkae chini mtatue matatizo yenu
 
Msee ya kiduki Kim Jong Il yawesa sadia we we "tunkua" kwa mbali hiyo mim'ba ra'fiki itaf'te har'aka san'a
 
OFISA:Mtalaka ni mtamu sanaaaaa na utamu wao hua hauishi wala hauchuji naongea kutokana na experience, weye lea mimba tuu ila ndani usimuingize maana km mlipelekana Bakwata na talaka mkapeana yakupasa aolewe upya na aachike ndio umuoe tena ss na hilo tumbo nani atamuoa? la sivyo ukiamua kumrudisha ndani mtakua mnaendelea kuzini km mlivyozini ukampa kitumbo ndiiiiii
nimecheka kama mazuri vile...eti kitumbo ndii

ndo maana uislam umekataza mwanamke na mwanaume kuonana pasipokua na mahrim.
 
Hii habari wewe sio wa Kwanzaa kuileta hapa........ Kuna harufu ya double I'd...... Au umecopy Mahala fulani
 
Hi wana bodi,
Nipo na mawazo na majuto kwa kutembea na mtalaka wangu,
Mtalaka wangu tumeachana miaka minne iliyo pita, kinachoniuma kwa hii miaka minne ya kuachana nae kanisumbua sana kuanzia bakwata, ustawi wa jamii mpaka mahamakani ,huku kote akidai matunzo ya mtoto.
Anachotaka yeye ni mahakama impe %ya kipato changu badala ya mimi ninavyo mtumia.
Sasa kufuatana fuatana nimejikuta natembea nae ili kumshawishi asinipeleke mahakamani kwani sipendi kufikishwa huko.
Sasa ameanza usumbfu kuwa amenasa na alikuwa anataka sana mtoto wa nyongeza azae na mimi, na anasema Mungu amejibu dua yake kwani alikuwa ana ombea niwe baba wa watoto wake tena. Sasa kwa hii miaka minne shubiri niliyoipata kwake nimeichoka lakini mwezangu hajali kama mimi sasa Nina maisha mapya anachodai mimba hii tutailea wote tukiwa nyumba moja.
Naomba ushauri ,hivi kuna waganga wa kutoa mimba rimoteness.?



Ukisikia Shari kamili ndio hiyoo. Saivi utadaiwa Milion 4 kama diamond
 
Back
Top Bottom