Swahib Sinjo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2012
- 322
- 315
ni vizuri ukambana kuhusu kupima DNA, kama kweli anajigamba kuwa alitaka kuzaa naww tena plus usumbuf wake na tamaa alizonazo kuna uwezekano mkubwa hiyo mimba ni fake au unabambikiwa sio yako,,,,, kuwa makini sana unappo-deal na hawa viumbe maana sometimes wana akili sana ukizubaa kakupiga 3-0