kungurumanga
Senior Member
- Sep 4, 2015
- 175
- 44
alionyesha mapenzi mwanzoni tu,alipozaa kahamishia mapenzi kwa mtoto ake,kwa mwezi ananipa game mara mbili tena kwa kulazimisha,maji ya kuoga chakula vyote ananipa house girl,akirudi kazini yeye ni kulala na kutap,vikao kwa ajili ya vikoba na mifuko ya kukopeshana,kubeba mtoto hawezi anamuachia house girl.