Najuta kumuoa mwanamke huyu

Najuta kumuoa mwanamke huyu

alionyesha mapenzi mwanzoni tu,alipozaa kahamishia mapenzi kwa mtoto ake,kwa mwezi ananipa game mara mbili tena kwa kulazimisha,maji ya kuoga chakula vyote ananipa house girl,akirudi kazini yeye ni kulala na kutap,vikao kwa ajili ya vikoba na mifuko ya kukopeshana,kubeba mtoto hawezi anamuachia house girl.

Zungmza Nae Ujue Sabab Za Yey Kufnya Hvyo
 
Hahahaha

Mie toka kitambo nafanya hivyo.....ingawa sio kila siku

Teh teh..Ntahitaji msaada wako aisee uongee na mke wangu..Ye kwenye habari ya kuchunguliana ni mbishi sana..Hata akiwa anataka kubadili nguo anaomba nimpishe chumbani..sijui kama hilo la kuoga atakubali lol
 
alionyesha mapenzi mwanzoni tu,alipozaa kahamishia mapenzi kwa mtoto ake,kwa mwezi ananipa game mara mbili tena kwa kulazimisha,maji ya kuoga chakula vyote ananipa house girl,akirudi kazini yeye ni kulala na kutap,vikao kwa ajili ya vikoba na mifuko ya kukopeshana,kubeba mtoto hawezi anamuachia house girl.

Unataka kusaidiwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom