faidha kumbuka unazungumza na muafrica sio wewe faidha jina zuri ukalichukua na la fox
Ndio maana kapoteza mvuto kwako.......
Maana hata mtoto wenu unamuita mtoto wake.... hivi hata kumbeba huyo mtoro unambeba kweli??? Unaporudi toka kwenye mihangaiko unakaaa hata kucheza na mtoto???
Hivi unazungumza na mkeo kweli na kujua anayopitia na changamoto zake????
Maji ya kuoga bado hata baada ya miaka 50 ya uhuru mnaweka kwenye ndoo na kupelekeana bafuni??? Kwa style hiyo mara ya mwisho kuoga na mkeo ilikuwa lini????
Unatimiza majukumu yako kweli? Maana mkeo asingekimbilia vikoba.
Ndoa inajengwa na wawili. Njia pekee ni wewe na mkeo kukaa chini kuzungumza na kutafuta muafaka....
Ahsante mkuu..Nimeng'amua kitu hapo..Ilo la kuoga na wife ntaanza nalo lol
Hayo mengine najitahidi..Ila hilo la kuoga sikujua kama ni muhimuUkianza na hilo umalizie na la kumsaidia kazi nyingine
Ahsante mkuu..Nimeng'amua kitu hapo..Ilo la kuoga na wife ntaanza nalo lol
utakua umepoteza mvuto!
yaani haumpi dyudyu ipasavyo.
halafu hayo mbona mambo madogo sana ya kuyamaliza kiume.
ndo maana nasema wanaume mmepungua.
utakuta kitandani unamgusagusa.
kwenye maamuzi mengine unamlegezea sauti ataachaje kufuata njia zake?
be a man dude.
Mwafrika asiyejijuwa ndiyo ananunuwa mwanamke kumweka ndani amfanyie kazi.
Hivi bado wapo tu wanawake wasiojielewa?
Kwetu hakuna hiyo, tunalishwa na kuvishwa.
Halafu ni Foxy siyo "fox".
alionyesha mapenzi mwanzoni tu,alipozaa kahamishia mapenzi kwa mtoto ake,kwa mwezi ananipa game mara mbili tena kwa kulazimisha,maji ya kuoga chakula vyote ananipa house girl,akirudi kazini yeye ni kulala na kutap,vikao kwa ajili ya vikoba na mifuko ya kukopeshana,kubeba mtoto hawezi anamuachia house girl.
Ukianza na hilo umalizie na la kumsaidia kazi nyingine
Ujumbe Umefika Sehemu Yake.. Karne Hii Ukiwa Dume kama la Bata Utatafutiwa kisadolini kama sio kidumu.. Kabla Ya Kuudandia Mdoli nilazima Uufikishe pwani angalau Mara mbili tu Kabla Ya Kuianza Safariutakua umepoteza mvuto!
yaani haumpi dyudyu ipasavyo.
halafu hayo mbona mambo madogo sana ya kuyamaliza kiume.
ndo maana nasema wanaume mmepungua.
utakuta kitandani unamgusagusa.
kwenye maamuzi mengine unamlegezea sauti ataachaje kufuata njia zake?
be a man dude.
Ujumbe Umefika Sehemu Yake.. Karne Hii Ukiwa Dume kama la Bata Utatafutiwa kisadolini kama sio kidumu.. Kabla Ya Kuudandia Mdoli nilazima Uufikishe pwani angalau Mara mbili tu Kabla Ya Kuianza Safari