Najuta Kumkwaza mke wangu

Najuta Kumkwaza mke wangu

Aisee kuna maneno mengine ya kuwaambia wanawake inabidi tuwe tunaangalia sana siku 1 my girl aliniudhi nikamwambia.......i hate you......i don't feel loving you any more .......Aiseee kilichotokea siri yangu at the end of the day I felt guilty.....we have to respect our woman aisee hata kama tuna hasira sometimes inabidi tuji control neno moja tu linaweza kuleta mambo mengi
Kweli mkuu
 
Mkuu tulipishana kauli nikajibu kwa jazba kuwa "..usiniletee ujinga we Malaya.." Ndo nikaharibu kabisa yaani, ubabe haufai mkuu
Du! Ulitumia lugha kali! Had nimejisikia vibaya. Jitahidi kuzuia kinywa chako kisinene mabaya hasa unapokuwa na hasira
 
Mkuu tulipishana kauli nikajibu kwa jazba kuwa "..usiniletee ujinga we Malaya.." Ndo nikaharibu kabisa yaani, ubabe haufai mkuu
Neno malaya ndilo lililomliza.
Tujifunze kuzimudu hasira zetu,hakika tutaepuka madhara mengi.
 
Saguda47, Pole,hata sisi wake zetu tunawapenda sana ila kukoroma lazima tukorome,ili uonyeshe kwamba ndani ya nyumba kuna mwanaume,haijalishi wewe ndio unakuwa umekosea au la,cha msingi ukikosea usiombe msamaha mpaka ushushe heshima yako,omba msamaha kiume atakuelewa tu...
 
Duh! Vuta subira sana, ndoa zina changamoto nyingi then mdomo ni sumu ya ndoa. Mke hatukanwi kwa matusi wala hapigwi kwa ngumi.
Mwingine kila leo anamuita mkewe mjinga,mpumbavu siku ilivyozidi akaamua kumwambia msengee mmmmmh yani
Ndoa ni uvumilivu ila kunamaneno mwanaume mzima anae jielewa akiyatamka yanamshusha mpaka kwenye 0 kuwa makini na kauli nzito
 
Wanaume msiwe mnatutolea maneno makali kiasi icho..mweh!
 
Back
Top Bottom