yap Man hiyo ndio yahitajika, nyumba yajengwa kwa upendo, nyumbani kukiwa na amani na furaha ni baraka nyingi, hata wewe mtafutaji akili inakaa sawa, lakini mwanamke akikasirika hata kujihisi unyonge, mwanangu si kitu kizuri, pia tumekuwa na kasumba ile kwamba sisi ndio tuna kauli ya mwisho, hatuwapi muda kuwasikiliza, hili ni muhimu sana, kuwapa muda na kumsikiliza neno baada ya neno, anaweza kukwambia jambo zuri lakini kama hukuwa makini likakukwaza kumbe tu hakujua ni muda gani aliaswa akuambie jambo lile....ndoa ni zaidi ya uvumilivu, na ndoa nio ukamilifu wa ukomavu wa akili..hongera kwa kufahamu kosa lako, mwambie shemeji pasaka njema yenye amani na furaha...bless