Buntungwa
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 549
- 310
Mwingine kila leo anamuita mkewe mjinga,mpumbavu siku ilivyozidi akaamua kumwambia msengee mmmmmh yani
Ndoa ni uvumilivu ila kunamaneno mwanaume mzima anae jielewa akiyatamka yanamshusha mpaka kwenye 0 kuwa makini na kauli nzito
Siku mke akiona anamshusha mumewe mpaka zero, basi ndoa imekufa. Wanawake wa kisasa sijuwana akili gani!? Akose yeye, aombwe msamaha yeye!! Ni DHAMBI KUBWA mke kumshusha mume moaka zero, ni dalili kuwa alioa KAHABA. Acha kabisa mtazamo huu ambao ni sumu katika ndoa. Jifunze kunyenyekea kwa sababu hamuwezi kuwa wababe wawili ndani ya ndoa mkaishi, mmoja lazima awe mwanamke mmoja awe mwanamume. Ukijiinua kujion kama mwanamume basi inabidi utafute mwanamke wa kuoa. Mtazamo wa hovyo sana huu kwa mke wa ndoa.