HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,671
Siku nyingine ufikirie kwanza kabla ya kutoa matamshi... Pole piaMkuu tulipishana kauli nikajibu kwa jazba kuwa "..usiniletee ujinga we Malaya.." Ndo nikaharibu kabisa yaani, ubabe haufai mkuu