Sio 500k mpaka 600k na posho kweli 🤔Asikia siku hizi kima cha chini cha mshahara ni milioni nne je ni kweli?
Akitaka kuacha anaacha. Watu wanaacha JWTZ sembuse PolisiKama wanaruhusiwa kupumzika kazi anaweza kuahirisha, lakini kama amri hairuhusu hakuna namna
Hivi kwani ukikimbia jeshi ukatokomea vijijini miaka 5 wanakusaka?Akitaka kuacha anaacha. Watu wanaacha JWTZ sembuse Polisi
Na posho za kuua watu tarehe 29 Oktoba 2025,alisaini na kubugia.Unaichukiaje wakati ccm mnayoilinda ndio imeshika mpini nyie ndio wenye nchi?
CHADEMA hawezi kuwa kiumbe zuzu bin zezeta kama wewe kiberiti.Najuta kuwa Chadema mpumbavu.
Sio kweli, namjua captain mmoja aliacha japo ilikuwa kwa mbinde sanaa hadi wanakuja kubali. Akaanza biashara zake na sasa hivi ni ana mawe ya hatari . Usiache kwa visa na mikasa,Hivi kwani ukikimbia jeshi ukatokomea vijijini miaka 5 wanakusaka?
Hela ya rushwa uipeleke nyumbani ukale na mke na watoto wako ni haramu na najisi Sheikh,Bado mgeni wa kazi ukizoea utaipenda tu, hukosi hela ya rushwa mshahara utakaa bank tu.
Huyu ni TAJIRI, hatakiwi kulalamikaNa posho za kuua watu tarehe 29 Oktoba 2025,alisaini na kubugia.
Acha utapeli hakuna polisi lofa km wewe, wenzio wanasema wataingiaje huko! Km ni kwl ulishindwa nini kumwaga wino badala ya kuja kubwabwaja humu. Andika barua ya kuacha kazi na tuwekee nakala humu!Hiii sio kazi ni presha
Kila mtu boss wako
Unakaa kwa Machale
Kazini chuki, mtaani chuki
Rushwa kila kona
Ama kweli najuta kuwa polisi
Hakika, na mara nyingi askari wakiachaga mtaani huchekewha kidogo tu pwaaaaSio kweli, namjua captain mmoja aliacha japo ilikuwa kwa mbinde sanaa hadi wanakuja kubali. Akaanza biashara zake na sasa hivi ni ana mawe ya hatari . Usiache kwa visa na mikasa,
Kutokana na nature ya kazi yao. Jambo la msingi ni kufata taratibu zote.Hakika, na mara nyingi askari wakiachaga mtaani huchekewha kidogo tu pwaaaa