Sasa ukweli mchungu ni kwamba wote 16 walikula mzigo, au pengine ni zaidi ya hapo. Yaani kati ya wanaume 16, wamchape wanne tu!!! Labda kama wote kakutana nao darisalama.....
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app

ha ha ah haAnataka kumuajiri![]()
kuna wakati una busara sana.....hii imetulia...badala mkae ndani muwaze maendeleo mnakaa kudiscuss uzinzi mliofanya zamani
Pole lakini...inasikitisha umeoa mke hana experience kabisa..yani katiwa na vidume vi 4 na wewe ndio wa 5....pole sana.Habari za leo wana-JF wenzangu, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojielezea.
Mwaka jana niliwahi kuomba ushauri baada ya kufuma message nyingi kwenye Facebook account ya mke wangu, nikajipiga moyo konde tukaweka sawa maisha yakasogea. Tatizo limeibuka jana, kabla hatujaoana mwanamke huyu aliwahi kunitajia idadi ya watu alio-date nao kua ni 16 ila waliomgegeda ni 3 sasa jana sijui story zilianzia wapi bwana nikamtega tu hivi flani ktk ile list yako zamani aliwahi kukukisi.
Mweeeeh nikashangaa mtu kainamisha kichwa chini kwa huzuni huku akisema sikutaka kukuambia mume wangu, mwanaume nikajipiga kifua na kumwambia aseme tu. Si ndo akaanza nisimulia kua jamaa alimla bwana, jicho likanitoka. Acha kabisa kusikia taarifa za mkeo alivyoliwa halafu alikuficha ni kama msiba mkubwa.
Kwahiyo wapo 4, akawa analia sana nikampooza ili nijue kama wapo wengine waligegeda akaapa Miungu yote kua ni hao tu hakuna mwingine kabisa. Tangu jana najuta kukurupuka kuoa mapema, bora ningebaki bachela tu niwe nagegeda kistaarabu kisha najisepa, hapa kichwa kinaniuma sina la kusema
Kweli ukimchunguza sana bata humli, ndoa ina majaribu mengi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
badala mkae ndani muwaze maendeleo mnakaa kudiscuss uzinzi mliofanya zamani

shida ya ndoa za vijana hiyo....Ndo ukome hayo ya zamani huwa hatuulizagi.unatakiwa kuanza pale unapoanzia na.si.nyuma.itaumia sana mkuu acha kurudia hizo.hbr zilizopitaHabari za leo wana-JF wenzangu, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojielezea.
Mwaka jana niliwahi kuomba ushauri baada ya kufuma message nyingi kwenye Facebook account ya mke wangu, nikajipiga moyo konde tukaweka sawa maisha yakasogea. Tatizo limeibuka jana, kabla hatujaoana mwanamke huyu aliwahi kunitajia idadi ya watu alio-date nao kua ni 16 ila waliomgegeda ni 3 sasa jana sijui story zilianzia wapi bwana nikamtega tu hivi flani ktk ile list yako zamani aliwahi kukukisi.
Mweeeeh nikashangaa mtu kainamisha kichwa chini kwa huzuni huku akisema sikutaka kukuambia mume wangu, mwanaume nikajipiga kifua na kumwambia aseme tu. Si ndo akaanza nisimulia kua jamaa alimla bwana, jicho likanitoka. Acha kabisa kusikia taarifa za mkeo alivyoliwa halafu alikuficha ni kama msiba mkubwa.
Kwahiyo wapo 4, akawa analia sana nikampooza ili nijue kama wapo wengine waligegeda akaapa Miungu yote kua ni hao tu hakuna mwingine kabisa. Tangu jana najuta kukurupuka kuoa mapema, bora ningebaki bachela tu niwe nagegeda kistaarabu kisha najisepa, hapa kichwa kinaniuma sina la kusema
Kweli ukimchunguza sana bata humli, ndoa ina majaribu mengi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kunguru hafugiki.Inauma hasa hawa ambao wameshapitapita,kiukweli hakuna siri,kwani hata asipokuambia kadri mnavyoishi utakuja tu kuwajua,kama sio wote basi itakuwa ni baadhi yao aliowahi kuwa nao,kwa sisi waoaji (wanaume) huwa inaumiza kuwa umeoa mwanamke aliepitiwa na idadi kubwa sana ya wanaume,ila kwakuwa umeshapenda unapaswa kutofuatilia,kibaya ni pale utakapokuja kugundua kuwa umeshamuoa na yeye bado ana mawasiliano nao tena ya karibu na ukimuuliza anakwambia ni story tu...
12060 × 2
Apambane na ndoa yakeNawe umezidi kuuliza maswali acha yakukute pole ndio ndoa hiyo vumilianeni tu mpaka kifo
Pole lakini...inasikitisha umeoa mke hana experience kabisa..yani katiwa na vidume vi 4 na wewe ndio wa 5....pole sana.
huyo hakustahili kuolewa...hana kabisa uzoefu...hana style nyingi za kutosha hajajaribu hata kuliwa tigo wewe umeweka ndani jumla umejifunga kabisa daaah.
mpige chini fasta tafuta wazoefu...
angekuwa mzoefu wala hata asingekuambia idadi ya waliomla...kwa kukosa uzoefu anakutajia kilist chake cha kitoto mpaka aibu..
.hao wa 4 waliomla mbona ndio wanatakiwa wawe mabwana zake wa primary school tuu...
hapo weka wengine 12 wa secondary olevel kisha weka wa 5 wa high school then wa 5 wa first year chuo then 15 mpaka anamaliza chuo kisha wa 5 wakati anatafata ajira kisha wa 3 wa ofisini na wa 3 wa mtaani kisha wewe ndio uje uoe.
katika list hiyo lazima watokee wa 2 waliomla tigo wa 3 wenye ngoma wa 5 waume za watu.
Pole sana dogo...umeajiri incompetent employee kwa cheo kikubwa sana thats why anapwaya...cheo cha maza hauzi kinam pwelepweta.
kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
hubu niachie mbavu zangu mie