Najuta kujipendekeza kuoa

Najuta kujipendekeza kuoa

we jamaa ni wa ajabu sana,.----yaani una mang'ana sana wewe!

sent from servant of God

Kama hamku ambiana siri zote kabla ya kuoana, basi haina tija kuanza kuzitoa baadae (nenda nazo kaburini). Wafaransa wana kamsemo kao kwamba mume na mke kila mmoja ana bustani yake ya zamani yenye siri, na hizi bustani hazipekuliwi na mwenzako!
 
Habari za leo wana-JF wenzangu, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojielezea.

Mwaka jana niliwahi kuomba ushauri baada ya kufuma message nyingi kwenye Facebook account ya mke wangu, nikajipiga moyo konde tukaweka sawa maisha yakasogea. Tatizo limeibuka jana, kabla hatujaoana mwanamke huyu aliwahi kunitajia idadi ya watu alio-date nao kua ni 16 ila waliomgegeda ni 3 sasa jana sijui story zilianzia wapi bwana nikamtega tu hivi flani ktk ile list yako zamani aliwahi kukukisi.

Mweeeeh nikashangaa mtu kainamisha kichwa chini kwa huzuni huku akisema sikutaka kukuambia mume wangu, mwanaume nikajipiga kifua na kumwambia aseme tu. Si ndo akaanza nisimulia kua jamaa alimla bwana, jicho likanitoka. Acha kabisa kusikia taarifa za mkeo alivyoliwa halafu alikuficha ni kama msiba mkubwa.

Kwahiyo wapo 4, akawa analia sana nikampooza ili nijue kama wapo wengine waligegeda akaapa Miungu yote kua ni hao tu hakuna mwingine kabisa. Tangu jana najuta kukurupuka kuoa mapema, bora ningebaki bachela tu niwe nagegeda kistaarabu kisha najisepa, hapa kichwa kinaniuma sina la kusema
Kweli ukimchunguza sana bata humli, ndoa ina majaribu mengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukioa hata akikuambia aligegedwa na mmoja, itakuuma tu!
 
tuliobahatika kuoa mabikra tunafaidi jamani,mi ndio maana nampenda na kumheshimu mke wangu kipenzi,alijitunza kwaajili yangu mpk leo tuna miaka 5 kwakweli namshukuru mungu.
 
Wote mmekutana mkiwa na meno 32, vumilia tu hakuna jinsi achana na mambo ya nyuma jenga ya mbele.
 
Afanye yote ila kasoro tu asipate mimba, maana nitajua kabsa kwamba jamaaa zilikula mno.

Unapooa mwanamke mwenye mtoto hapo hamna cha kudsicuss ni dhahiri kabsa kwamba aliliwa kisawasawa.

Vizuri zaidi uoe harafu umpatie ujauzito mbona bomba kabsa, siwezi kuanza kuwaza sijui alipitiwa na wangapi, kama waliompitia hawakumpa mimba ina maana kwamba walikuwa hafanyi kazi ipasavyo.
 
sasa imekusaidia nini kuuliza hayo mambo..utoto huo
 
Habari za leo wana-JF wenzangu, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojielezea.

Mwaka jana niliwahi kuomba ushauri baada ya kufuma message nyingi kwenye Facebook account ya mke wangu, nikajipiga moyo konde tukaweka sawa maisha yakasogea. Tatizo limeibuka jana, kabla hatujaoana mwanamke huyu aliwahi kunitajia idadi ya watu alio-date nao kua ni 16 ila waliomgegeda ni 3 sasa jana sijui story zilianzia wapi bwana nikamtega tu hivi flani ktk ile list yako zamani aliwahi kukukisi.

Mweeeeh nikashangaa mtu kainamisha kichwa chini kwa huzuni huku akisema sikutaka kukuambia mume wangu, mwanaume nikajipiga kifua na kumwambia aseme tu. Si ndo akaanza nisimulia kua jamaa alimla bwana, jicho likanitoka. Acha kabisa kusikia taarifa za mkeo alivyoliwa halafu alikuficha ni kama msiba mkubwa.

Kwahiyo wapo 4, akawa analia sana nikampooza ili nijue kama wapo wengine waligegeda akaapa Miungu yote kua ni hao tu hakuna mwingine kabisa. Tangu jana najuta kukurupuka kuoa mapema, bora ningebaki bachela tu niwe nagegeda kistaarabu kisha najisepa, hapa kichwa kinaniuma sina la kusema
Kweli ukimchunguza sana bata humli, ndoa ina majaribu mengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
ukishaoa acha kuzungumza ya nyuma....!

Usitarajie kuna mwanamke sasa hivi ambaye hajaliwa na si chini ya wanaume 20! Hakuna, labda malaika ashuke, ana yeye akizubaa lazima afikishe zaidi ya hiyo idadi..!
 
Habari za leo wana-JF wenzangu, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojielezea.

Mwaka jana niliwahi kuomba ushauri baada ya kufuma message nyingi kwenye Facebook account ya mke wangu, nikajipiga moyo konde tukaweka sawa maisha yakasogea. Tatizo limeibuka jana, kabla hatujaoana mwanamke huyu aliwahi kunitajia idadi ya watu alio-date nao kua ni 16 ila waliomgegeda ni 3 sasa jana sijui story zilianzia wapi bwana nikamtega tu hivi flani ktk ile list yako zamani aliwahi kukukisi.

Mweeeeh nikashangaa mtu kainamisha kichwa chini kwa huzuni huku akisema sikutaka kukuambia mume wangu, mwanaume nikajipiga kifua na kumwambia aseme tu. Si ndo akaanza nisimulia kua jamaa alimla bwana, jicho likanitoka. Acha kabisa kusikia taarifa za mkeo alivyoliwa halafu alikuficha ni kama msiba mkubwa.

Kwahiyo wapo 4, akawa analia sana nikampooza ili nijue kama wapo wengine waligegeda akaapa Miungu yote kua ni hao tu hakuna mwingine kabisa. Tangu jana najuta kukurupuka kuoa mapema, bora ningebaki bachela tu niwe nagegeda kistaarabu kisha najisepa, hapa kichwa kinaniuma sina la kusema
Kweli ukimchunguza sana bata humli, ndoa ina majaribu mengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe uligegeda wangapi kabla na baada ya kukutana naye?

Wangapi kati ya hao ni baada ya ndoa?

Sema ukweli.

Sent from my Kimulimuli
 
Sasa ukweli mchungu ni kwamba wote 16 walikula mzigo, au pengine ni zaidi ya hapo. Yaani kati ya wanaume 16, wamchape wanne tu!!! Labda kama wote kakutana nao darisalama.....

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Hahahahahahaha kabla hatujaanza uhusiano miaka hiyo tukiwa marafiki tu alinitajia list ya aliodate nao na waliomgegeda ila huyo mmoja hakumtaja ndo kamtaja jana, itakua ana sababu zake whether ndo alimkuna vizuri yote yanawezekana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ambaye hajakutajia ni kwamba bado anam feel sana na so ajabu anaendelea kumkaza kimya kimya bila we we kujua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom