Najuta kujipendekeza kuoa

Najuta kujipendekeza kuoa

Principal nzuri: when we start dating hakuna kuongelea stori za ex. Hata kama kweli alikuwa mwema kwako, ikibidi kuongelea tukio, mahali au kitu...kama huwezi kukielezea bila kumtaja, usikiseme, hutokufa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa nawe unauliza mkeo kagegedwa na wangapi ili iweje? unataka kumrudishia bikra yake ya kila mwanaume aliyemgegeda? Inabidi upelekwe jandoni ukubwani wewe badala ya kuwa busy kutaka kujua mkeo kagegedwa na wanaume wangapi. Ni kumdhalilisha huko kama ulitaka bikra ungemwambia tangu mwanzo kwamba mrembo weye si bikra nami sitaki kuoa asiyekuwa bikra.

Habari za leo wana-JF wenzangu, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojielezea.

Mwaka jana niliwahi kuomba ushauri baada ya kufuma message nyingi kwenye Facebook account ya mke wangu, nikajipiga moyo konde tukaweka sawa maisha yakasogea. Tatizo limeibuka jana, kabla hatujaoana mwanamke huyu aliwahi kunitajia idadi ya watu alio-date nao kua ni 16 ila waliomgegeda ni 3 sasa jana sijui story zilianzia wapi bwana nikamtega tu hivi flani ktk ile list yako zamani aliwahi kukukisi.

Mweeeeh nikashangaa mtu kainamisha kichwa chini kwa huzuni huku akisema sikutaka kukuambia mume wangu, mwanaume nikajipiga kifua na kumwambia aseme tu. Si ndo akaanza nisimulia kua jamaa alimla bwana, jicho likanitoka. Acha kabisa kusikia taarifa za mkeo alivyoliwa halafu alikuficha ni kama msiba mkubwa.

Kwahiyo wapo 4, akawa analia sana nikampooza ili nijue kama wapo wengine waligegeda akaapa Miungu yote kua ni hao tu hakuna mwingine kabisa. Tangu jana najuta kukurupuka kuoa mapema, bora ningebaki bachela tu niwe nagegeda kistaarabu kisha najisepa, hapa kichwa kinaniuma sina la kusema
Kweli ukimchunguza sana bata humli, ndoa ina majaribu mengi sana.

kwann uliulizia historia ya nyuma ya mtu wako, je na yeye akiuliza yako utamjibu nini
 
Sasa wewe mtu aliliwa zamani hata hujamjua inakuuma hivyo akiliwa saiv ushamuoa si ndo utakunywa sumu ufe jombaa
Lol... huyu Jombaaa anastahili apewe mafunzo maana kujiua kupo nje nje. hahahahaha

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Pole lakini...inasikitisha umeoa mke hana experience kabisa..yani katiwa na vidume vi 4 na wewe ndio wa 5....pole sana.

huyo hakustahili kuolewa...hana kabisa uzoefu...hana style nyingi za kutosha hajajaribu hata kuliwa tigo wewe umeweka ndani jumla umejifunga kabisa daaah.

mpige chini fasta tafuta wazoefu...

angekuwa mzoefu wala hata asingekuambia idadi ya waliomla...kwa kukosa uzoefu anakutajia kilist chake cha kitoto mpaka aibu..

.hao wa 4 waliomla mbona ndio wanatakiwa wawe mabwana zake wa primary school tuu...
hapo weka wengine 12 wa secondary olevel kisha weka wa 5 wa high school then wa 5 wa first year chuo then 15 mpaka anamaliza chuo kisha wa 5 wakati anatafata ajira kisha wa 3 wa ofisini na wa 3 wa mtaani kisha wewe ndio uje uoe.

katika list hiyo lazima watokee wa 2 waliomla tigo wa 3 wenye ngoma wa 5 waume za watu.

Pole sana dogo...umeajiri incompetent employee kwa cheo kikubwa sana thats why anapwaya...cheo cha maza hauzi kinam pwelepweta.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
Bro acha bhana ujue anaweza kua hajakuelewa akajikuta anakunywa sumu..... hahahahahahha sema nini umetisha mbayaaaaaaaaa Mkojo wa Bange lol

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Acha porojo.
Umeisha oa, hayo yaliyotokea kabla ya wewe kuwa naye ni previous pages and chapters in her book.
Umeanzisha ukurasa na kitabu kipya na mkeo achana na hizo story za mwaka arobaini na saba.

Any way, mheshimu mkeo kwani, wewe kabla ya kuoa hukuwahi kufanya ufukusa na mwanamke!?
 
muulize idadi ya mabao mengi aliyawahi kupigwa kwa mara moja, akisema saba na wewe huwa unaishia mbili utajua nani alimgonga vizuri hahahaha
sijui itakusaidia nini
Nimecheka kama mazuri vile... Aisee!
 
acha yakukute maswali gani Yao yakitoto ivyo hujui kusoma psychology ya wanawake SHORTLY hawapendagi kuulizwa ayo maswali ila wanapendaga kuuliza sasa wew endelea kuuliza atakuchefua mpka utatamani kufa
 
Una akili za kitoto sana..unataka kuwajua ili uwanywee chai au...hamna kazi ya kufanya mpk mnaulizana huo upuuzi...then unakuja kusema huku ili watu wakusaidie nini? Kaka yangu kama utaendekeza kufualia hayo mambo madogo hivyo hiyo ndoa itakushinda...mpende mke wako sahau ya nyuma msonge mbele...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa 4 apo ukiuliza kila mmoja kapita mara ngapi na je alikosea tundu? au je alimeza lita ngapi achia mbali kunyonya, unaweza lia. Kiukweli tulipaswa kuoa bikra tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom