Najuta kujipendekeza kuoa

Najuta kujipendekeza kuoa

Dah....bonge la couple....mnamatch balaa...tena kila kitu......wewe na mkeo...Hongera sana😀😀😀😀😀😀
 
Habari za leo wana-JF wenzangu, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojielezea.

Mwaka jana niliwahi kuomba ushauri baada ya kufuma message nyingi kwenye Facebook account ya mke wangu, nikajipiga moyo konde tukaweka sawa maisha yakasogea. Tatizo limeibuka jana, kabla hatujaoana mwanamke huyu aliwahi kunitajia idadi ya watu alio-date nao kua ni 16 ila waliomgegeda ni 3 sasa jana sijui story zilianzia wapi bwana nikamtega tu hivi flani ktk ile list yako zamani aliwahi kukukisi.

Mweeeeh nikashangaa mtu kainamisha kichwa chini kwa huzuni huku akisema sikutaka kukuambia mume wangu, mwanaume nikajipiga kifua na kumwambia aseme tu. Si ndo akaanza nisimulia kua jamaa alimla bwana, jicho likanitoka. Acha kabisa kusikia taarifa za mkeo alivyoliwa halafu alikuficha ni kama msiba mkubwa.

Kwahiyo wapo 4, akawa analia sana nikampooza ili nijue kama wapo wengine waligegeda akaapa Miungu yote kua ni hao tu hakuna mwingine kabisa. Tangu jana najuta kukurupuka kuoa mapema, bora ningebaki bachela tu niwe nagegeda kistaarabu kisha najisepa, hapa kichwa kinaniuma sina la kusema
Kweli ukimchunguza sana bata humli, ndoa ina majaribu mengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyekwambia umuulize nani???unajua kila mwanamke ana historia yake mi mwenyew hapa hata idadi sii kumbuki kwa kweli niwe tu mkweli...kama mlipima mpo vizuri shida ipo wapi?ukimchunguza bata hutamla...vumilia tu na kama ulimpenda kweli na ukamuoa hayo yake ya zamani yasahau...ila kama anaendelea na ufuska hilo jambo lingine kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brother hayo yameshapita achana nayo ...cha msingi je mnapendana kwasasa na kama mnapendana kwanini upate shida nyingi kiasi ambacho ur not normal at all!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ukweli mchungu ni kwamba wote 16 walikula mzigo, au pengine ni zaidi ya hapo. Yaani kati ya wanaume 16, wamchape wanne tu!!! Labda kama wote kakutana nao darisalama.....

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Hapoooo jamaniii eee tusiulizane wamepita wangapi unaweza ukazimia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
usishangae kesho akasema
hata captain temba wa jf na yy teyar
nahc utakufa kabsa

sent from aifoni seveni plasi
 
Sasa ukweli mchungu ni kwamba wote 16 walikula mzigo, au pengine ni zaidi ya hapo. Yaani kati ya wanaume 16, wamchape wanne tu!!! Labda kama wote kakutana nao darisalama.....

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
sasa unayaleta huku ili? hizi ndoa za kukutana instagram ni shida tupu
 
Mkuu acha tabia ya kufukua makaburi, kama walimgegeda kabla ya kumuoa sasa unaumia nini? Na yeye akitaka kujua idadi ya wanawake uliowagegeda kabla ya kuoana kutakuwa na ndoa tena hapo..
Be strong & move forward

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahahaha kabla hatujaanza uhusiano miaka hiyo tukiwa marafiki tu alinitajia list ya aliodate nao na waliomgegeda ila huyo mmoja hakumtaja ndo kamtaja jana, itakua ana sababu zake whether ndo alimkuna vizuri yote yanawezekana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona mmoja kamuacha ujue huyo bado anakumbuka game we ongeza manjonjo awasahau...mbona kumsahaulisha mwanamke kitu kidogo sana????mpende mkeo bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena ungechelewa kuoa ungekuta kaliwa na watu 50....mimi huwa nakadiria kuwa kila demu wangu kaliwa na watu kadhaa kutokana na umri wake siulizi cz haisaidii kitu as long as mambo yetu yanaenda na ukiona demu anajifanya kukwambia kaliwa na watu wachache ujue muongo tu
Umri sio ishu aisee kuna ambao wamechelewa kuanzia na waliowahi ukihesabu kwa umri utashindwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo kitu sijawahi fanya na wala sitakaa nimwambie maana tangu awali nilimdanganya, yeye anajua niliwahi kulala na wanawake 5 ila uhalisia ni zaidi ya 30 so ni kitu ambacho hapaswi kujua hiyo idadi ila bora asingeniambia maana mie niliuliza tu aliwahi kumkisi? Ye akasema kabisa na kugegedwa kitu ambacho sikuwaza kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoma droo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maswali ya kitoto na kijinga haijawai tokea. Kuliwa ni kuliwa tuu either na mmoja au mia. K itabaki kuwa kama ilivyokua. Cha msingi ni kuanza upya mpende akupende akuheshimu na kukutunzia utu wako full stop.
 
Kwa ulivomchunguza ulibaini kukosekana kwa kiungo chochote kile kumani kwake- kama vile kissimmi, shavu, seviksi au vinginevyo? We to.mba tu hayo mengine achana nayo utakufa kama kumbikumbi
 
Sasa we wanaume wanne tu unachanganyikiwa..?! Watu wanaoa malaya waliokubuhu walioyembea na wanaume zaidi ya mia sembuse ww wanne?!

Pambana na hali yako...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndiyo faida ya kufukua makaburi. Na mnaponunua magari ya mtumba muwe mnauliza ni wangapi wameshayaendesha. Ushaambiwa na wahenga bata ukimchunguza sana huwezi kumla hukusikia. Basi niachie mimi huyo mkeo. Hao wanne aliotoka nao ukijumlisha na wewe hapo mnakuwa watano hiyo ni idadi ndogo sana. Huyo mkeo ni sawa tu na bikra kwa idadi hiyo... 🙄
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom