Najuta kujipendekeza kuoa

Najuta kujipendekeza kuoa

Habari za leo wana-JF wenzangu, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojielezea.

Mwaka jana niliwahi kuomba ushauri baada ya kufuma message nyingi kwenye Facebook account ya mke wangu, nikajipiga moyo konde tukaweka sawa maisha yakasogea. Tatizo limeibuka jana, kabla hatujaoana mwanamke huyu aliwahi kunitajia idadi ya watu alio-date nao kua ni 16 ila waliomgegeda ni 3 sasa jana sijui story zilianzia wapi bwana nikamtega tu hivi flani ktk ile list yako zamani aliwahi kukukisi.

Mweeeeh nikashangaa mtu kainamisha kichwa chini kwa huzuni huku akisema sikutaka kukuambia mume wangu, mwanaume nikajipiga kifua na kumwambia aseme tu. Si ndo akaanza nisimulia kua jamaa alimla bwana, jicho likanitoka. Acha kabisa kusikia taarifa za mkeo alivyoliwa halafu alikuficha ni kama msiba mkubwa.

Kwahiyo wapo 4, akawa analia sana nikampooza ili nijue kama wapo wengine waligegeda akaapa Miungu yote kua ni hao tu hakuna mwingine kabisa. Tangu jana najuta kukurupuka kuoa mapema, bora ningebaki bachela tu niwe nagegeda kistaarabu kisha najisepa, hapa kichwa kinaniuma sina la kusema
Kweli ukimchunguza sana bata humli, ndoa ina majaribu mengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watalamu wa mambo wanasema ukiwa kwenye mahusiano msipende kuongealea mahusiano yenu yaliyo pita
 
Sasa Kama hukumkuta akiwa na bikra unahisi alitolewa na wadudu? Ukikuta haipo ujue kaliwa na mwanaume Kama wewe afu unapiga kimya.
 
Habari za leo wana-JF wenzangu, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojielezea.

Mwaka jana niliwahi kuomba ushauri baada ya kufuma message nyingi kwenye Facebook account ya mke wangu, nikajipiga moyo konde tukaweka sawa maisha yakasogea. Tatizo limeibuka jana, kabla hatujaoana mwanamke huyu aliwahi kunitajia idadi ya watu alio-date nao kua ni 16 ila waliomgegeda ni 3 sasa jana sijui story zilianzia wapi bwana nikamtega tu hivi flani ktk ile list yako zamani aliwahi kukukisi.

Mweeeeh nikashangaa mtu kainamisha kichwa chini kwa huzuni huku akisema sikutaka kukuambia mume wangu, mwanaume nikajipiga kifua na kumwambia aseme tu. Si ndo akaanza nisimulia kua jamaa alimla bwana, jicho likanitoka. Acha kabisa kusikia taarifa za mkeo alivyoliwa halafu alikuficha ni kama msiba mkubwa.

Kwahiyo wapo 4, akawa analia sana nikampooza ili nijue kama wapo wengine waligegeda akaapa Miungu yote kua ni hao tu hakuna mwingine kabisa. Tangu jana najuta kukurupuka kuoa mapema, bora ningebaki bachela tu niwe nagegeda kistaarabu kisha najisepa, hapa kichwa kinaniuma sina la kusema
Kweli ukimchunguza sana bata humli, ndoa ina majaribu mengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekipata ulichokuwa unakitafuta. Unamuuliza mwanamke katembea na wanaume wangapi ili iweje....
 
Si kila muda mna discuss maendeleo tu, mtakua maroboti sasa... Kuna muda mnajiachia na mastory ya miaka hiyooo whether kwa kukumbushiana through picha za zamani au hata story tu.. Sasa katika story hizo ndo anaamua kufunguka kitu ambacho hata hukuwazia ndo maumivu nayoyahisi hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unaumia wakato yalitokea kabla hamjarasimisha mahusiano yenu/hamjafahamiana?.

Utamuelewa akikukasirikia kwa kuwa ulifanya mapenzo na mwanamke mwingine kabla hamjakutana?.
 
Umeyataka mwenyewe,iwe funzo kwa wale wote wenye mwenendo kama wako
 
Mwanamke akikutajia idadi ya wanaume waliomdocha zidisha Mara 10. Yaani siku hizi watoto wa kike wanavua chupi kama vile mwishowe wanapewa tuzo, tuombe sana Mungu atupatie wake wema..! Damn..
 
Wivu ukizidi nao shida, wakati anapitiwa nao wengi hata wewe ulikuwa unapitia wengi.
Inauma hasa hawa ambao wameshapitapita,kiukweli hakuna siri,kwani hata asipokuambia kadri mnavyoishi utakuja tu kuwajua,kama sio wote basi itakuwa ni baadhi yao aliowahi kuwa nao,kwa sisi waoaji (wanaume) huwa inaumiza kuwa umeoa mwanamke aliepitiwa na idadi kubwa sana ya wanaume,ila kwakuwa umeshapenda unapaswa kutofuatilia,kibaya ni pale utakapokuja kugundua kuwa umeshamuoa na yeye bado ana mawasiliano nao tena ya karibu na ukimuuliza anakwambia ni story tu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom