Najuta kujipendekeza kuoa

Najuta kujipendekeza kuoa

Ukidate na mwanamke akakuambia aliliwa na wanaume 10+ njoo nikupe zawadi. Hakuna mwanamke anaweza kukuambia aliliwa na wanaume wengi.

Hiyo inamaanisha nini? Kwamba mwanamke anajua kuwa kutoa uchi wake ovyo ni dalili za kuwa mala.ya na hakuna anayependa kuitwa malaya. Hata hivyo, kuna vitu inabidi usivitilie manani katika maisha, utakufa kwa kiharusi. Siku hizi wanawake wengi wanaweza kuwapanga hata wanaume watano at per na msijuane.
 
Blaza mpe short list yako....dah mi maswali ya kishamba namna hiyo siulizi kaka nna experience ya kutosha sababu ni kabla sijaamua kuoa nilishawagegeda si chini ya 500 sasa bro umeambiwa wanne tuu unapaniki cha kufanya kwa sasa hakikisha agegedwi na wa tano...na wewe usiwe mzinzi.....komaa jombaa usijutie ndoa kisa aligegedwa kama bado anagegedwa ndani ya ndoa hapo ndio kuna shida........umemuoa mpe mkeo mahitaji yote muhimu na umgegede inavyotakikana..
 
Ukisoma hapo hakuna mahala nimesema niliuliza nani alimgonga?! Mie totally niliamini ile list ya watu 3 ya miaka hiyo hivyo hata sikua na shaka nayo, ila jana ndo akafunguka ya wa 4 ambapo hata sikumuuliza hayo ndo hapo nikapigwa na butwaa mpaka sasa aahamini kama nampenda tena

Sent using Jamii Forums mobile app
wana siri nyingi sana hawa,unaweza kuta exact figure ni 40,90,120 you name it,ila hawezi kusema ukweli katika hilo.
 
Wewe ulisha gegeda wangapi mpaka Leo? Tuanzie hapa kwanza
 
kama kuna maswali siyapendi ni hayo. yaliyopita yameshapita kila mtu alipita safari yake na siri zake za huko nyuma. je wewe amekuwa akikuuliza kuhusu waliopita kwako?
 
Niliwahi kuchat nae Facebook mkeo na mapicha ya uchi akanitumia ya kutosha.

Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
 
Sijui wewe mtoa mada una umri wa miaka mingapi tangu uzaliwe.
 
Duuuuh!!!!!!!!!!!!!!! Ulifanya kosa kuuliza mambo yasiyo ya msingi.... Nakumbuka in my ndoa nilikuja gundua my wife aliwahi bakwa na kaka yake wa baba mkubwa na tena siku ya harusi alikuwa anacheza utafikiri sherehe yake iliniuma saaaaaaaaaaaana ila alikuja tangulia mbele ya haki ila siamini kama nitasahau kwani angetakiwa awe jela yule... Haya mambo usiulize jombaaaa hata kakudanganya bikra na hujaikuta wewe zuga umeiona na nunua zawadi ili kufunika kombe........
 
Hawa wanawake wa siku hizi sio wakuwauliza hovyohovyo,wana magumu mengi sana wamebeba mioyoni mwao,na ilivyo kawaida mwanamke ukikuta amegegedwa sana ujue kuna ambao walimvunjia heshima kwakumgegeda hadi kwenye njia ya haja kubwa.

Kama umeamua kumuoa achana na udadisi,kikubwa asiendeleena waliokua wanamgegeda,na hapo ndiyo mtihani unapoanzia,kwani wengi wanakiri kua hawawezi kugongwa na waliowagonga hapo zamani,lakini ukweli nikwamba wengi wanaliwa sana na wanaume zao wakipindi cha nyuma hadi wanawakatisha tamaa wale ambao hawajaoa bado.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo kitu sijawahi fanya na wala sitakaa nimwambie maana tangu awali nilimdanganya, yeye anajua niliwahi kulala na wanawake 5 ila uhalisia ni zaidi ya 30 so ni kitu ambacho hapaswi kujua hiyo idadi ila bora asingeniambia maana mie niliuliza tu aliwahi kumkisi? Ye akasema kabisa na kugegedwa kitu ambacho sikuwaza kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kumbe wewe ulivuruga 30 na unataka wako asiwe kavurugika nyoooo tena usikute àlitinduliwa na zaidi ata ya hao 16 Hanna atae sema ukweli
 
Bwana mdogo kama mkeo ulimuoa akiwa hana bikra unategemea hiyo bikira ilitolewa kwa mlipuko wa baruti?

Mke wako wa sasa hapo kabla alikuwa ni demu wa watu wengine na ukikuta hana bikira we fanya assumption ashaliwa na marijali wote ulimwenguni wewe ndio wa mwisho kumla...full stop!!!

Tatizo limeibuka jana, kabla hatujaoana mwanamke huyu aliwahi kunitajia idadi ya watu alio-date nao kua ni 16 ila waliomgegeda ni 3 sasa jana sijui story zilianzia wapi bwana nikamtega tu hivi flani ktk ile list yako zamani aliwahi kukukisi.

Mweeeeh nikashangaa mtu kainamisha kichwa chini kwa huzuni huku akisema sikutaka kukuambia mume wangu, mwanaume nikajipiga kifua na kumwambia aseme tu. Si ndo akaanza nisimulia kua jamaa alimla bwana, jicho likanitoka.
 
16 Mbona Kidogo mkuu, ww fanya yako achana na hayo maswali Utaumia bure, uzur Umemkuta hana Maradhi, yaache Hayo endeleza maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom