Najuta kujifunza kuhonga msichana

Najuta kujifunza kuhonga msichana

Siishi naye. Anaishi kwao. Jana aliniaga anakwenda UDOM kufuata cheti chake. Lakini toka asubuhi hapokei simu. Muda huu ametoka kunitumia text hii.....baby huamini kama nimesafiri? kwenye gari kelele nyingi ndo maana cpokei simu zako. But, kiuhalisia huu ni half time ya mgegedo. Duh, imeniuma siyo siri, mara ya kwanza kuchapiwa. Huwa naacha siyo kuachwa!
lakini si bado hujaachwa .....bado unayo nafasi ya kumuacha....mkuu inaelekea hapo ulikuwa umefika huna ujanja na ulimwamini 100% ndo maana hadi ukahonga kwa kiwango chako cha juu kabisa......halafu inaelekea umehonga vingi ....au hadi nauli ya kwenda udom ulimpa?.....mapenzi ni sheedah.....

acha maisha yaendelee huna haja ya kujipa msongo wa mawazo
 
Inaauma xna hiyo, ila kwa maisha ya xx usiumizwe kichwa! Na iskute cm yenyewe kashauza chezea watoto wa mjin ww?
 
Kwani wewe hadi unamuona na kumtongoza ulimuuliza nani alimpendezesha, alimnunulia pichu uliyomvua, nguo anazovaa unamuona anapendeza, simu aliyokuwa nayo na mkawa mnawadiliana kabla hujampa hiyo Lumia. Acha ushamba, kama unao oa, kama vipi kupigiwa ni suri ya ndani, tafuta demu wa anayekupigia nae mpe lumia upige mashine
 
Hapo umechemka kisawasawa. Mwanaume hawezi kuthibitisha kuwa anampa dozi kisawasawa. Je, kama anapenda TIGO wewe ukaenda voda hata mara 100 unadhani atakuwa ameridhika? Huu ni mfano tu. Nadhani anayemkongoli sasa ndiye anamkojoza

Hahaha nimecheka sanaa. Daaah Sipati picha wanavyo mtindua huyo mtoto huko, jamaa anakuja kulia humu...ila haya mambo bna hayana mjanja. U sharp wako tu.
Muhimu kutafuta hela/mafanikio kwa nguvu zote...people will respect and fear u. Wanajua wakigonga, utawahamisha mjini hapa.
 
Hapo umechemka kisawasawa. Mwanaume hawezi kuthibitisha kuwa anampa dozi kisawasawa. Je, kama anapenda TIGO wewe ukaenda voda hata mara 100 unadhani atakuwa ameridhika? Huu ni mfano tu. Nadhani anayemkongoli sasa ndiye anamkojoza

hee huu mfano kama kweli
 
Teh teh ndo tatizo la kufanya mambo nje ya uwezo wako, mchunie tu hiyo ishaenda!

Presents kwa umpendaye is very romantic. Pia kama ukijua aina ya present atakayoipenda mwenzi wako ni nzuri zaidi. Jiulize swali: kwa sasa wasichana wengi wanapenda nini? SMART PHONES! so jamaa kajitutumua but kama waswahili wasemavyo " PUNDA SHUKRANI YAKE..."
 
ahahahahaaa hapo hujahonga unatakiwa uongezee japoo 350000 ndio ujisifiweeee
 
Watu wanahonga mpaka ukuu wa wilaya na wanachapiwa vile vile, wewe kuhonga simu tu unachanganyikiwa!, usikute baada ya kuhonga hiyo simu hujawahi mpatia kitu kingine tena, sasa huyo mwingine katafuta wa kumuwekea vocha kwenye hiyo simu, wanawake siku hizi kuchuna ni carrier kijana.

Kwa hiyo simu ya 650000 kwako wewe is nothing siyo? ulitaka ahonge ya sh ngapi ili iwe halali kulalamika akigongewa? Hivi kwa mtanzania wa kipato cha kati laki sita ni pesa kidogo? Halafu tunasema maisha magumu?
 
Kwani wakati unamnunulia mliandikishiana mkataba kwamba ukimkuta na mwanamme mwingine umnyang'anye?, na pia alikuomba umnunulie au ni uamuzi wako mwenyewe?. Hiyo ipotozee tu, cha mhimu hujamhonga uhai wako, hapo ndo ungekula hasara.

Kwani akiichukua hiyo simu kuna tatizo gani, maisha yatakoma kwa huyo mwanamke? Nadhani msichana mwenye akili timamu akiona hawezi kuendelea kuwa na mtu kama kuna vitu vyake vya thamani hujitahidi kurudisha, mrudishiwa sasa ndiye anatakiwa awe na busara kwamba "mimi nilikupa zawadi, hivyo ni vyako mama, no matter tuko pamoja ama lah". Tofauti na hapo ujue mwanamke anapenda miteremko tu.
 
Back
Top Bottom