Najuta kujifunza kuhonga msichana

Najuta kujifunza kuhonga msichana

Hivi ela zinamtoshaga mtu eeh? Nauliza tu mana wanaume umu wanavojidanganya ooh nampa dozi ya kutosha na hela nampa
nani kakwambia ela zinatoshaga?
 
Usimnyanganye mpotezee ipo siku yake atakuja tu songa mbele
 
Pigia na gharama zingne zoooote za vitu ulivyowai kumlipia had.nauli ya bodaboda ikizid ya sim usimnyang'anye ikizd mnyang'anye.
Midume bwana we ndo unaumia.kwamba umemgharamia na waliokutunzia mpaka kafka umri uo na walomfomfanya akapendeza hivyoo coz hata xhup inazomvuaga wenzio wamegharamia na we wasaidie tu na wenzio
 
Tatizo serikali haina pesa, vyuo vingi vinachelewa kufunguliwa Kwa semester II
 
Nimeupata ushauri wenu. Kwamba hata chupi nilizokuwa namvua sijui aliyenunua kwa hiyo nami nikubali afanye appointment kwa kutumia simu niliyimpa. Hilo nalo neno! Thanks all!
 
Kusema ukweli nilimpa simu mwenyewe lakini ndo hivyo ni sawa na kuhonga. Nilidhani atakuwa na mimi pekee yangu. Kinachoniumiza sijawahi kutoa zawadi au kuhonga kitu cha thamani ya zaidi ya sh 10,000. Maumivu yapo hapo. Hadi sasa nahisi hasira kali, nikimkamata kwanza nahisi kumchapa makonde nimnyanganye na simu hata kama hatuna mkataba wa maandishi. Matumizi na vocha namwekea tena vifurushi vya mwezi. Kama ni kumtia nampa dozi ya uhakika hadi na yeye anakubali, sijui pepo gani limeingia

mpe makonde akutie jela.....WEWE KAMA USHAAMUA KUMPOKONYA SIMU.. MVIZIE TU KIUPOLE AKIJAA UNAICHUKUA YANAISHA KWA AMANI... na sio unajinadi kupora simu ukishaichukua uje kulialia humu .. "OOOOH NIMEMUACHA ILA BADO NAMPENDA" "OOOOH NATAMANI KUMRUDIA ..."
 
eeeehhhh nina mpango wa kumuhonga wangu apple products...(simu, laptop, ipad ) mmh ngoja nitafute tecno products nisije nikalia na kusaga meno
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha maan**ina na inaonyeshea unajutaa kwelii .na huyo dem alikuwa dem wangu ss nimerudiana na hyo cm ninayo mm .
 
........kanunua simu kampa demu walipoachana.. kamnyang'anya......... SIJUI NANI ALIIMBAGA HII TAARABU
 
Heri kutembea na wadada wanaojiuza,unalipia huduma ukimaliza yako hudaiwi tena kuliko kujifanya unajimilikisha unatumia gharama kubwa na jamaa nje wanapiga kama kawa
 
mpe makonde akutie jela.....WEWE KAMA USHAAMUA KUMPOKONYA SIMU.. MVIZIE TU KIUPOLE AKIJAA UNAICHUKUA YANAISHA KWA AMANI... na sio unajinadi kupora simu ukishaichukua uje kulialia humu .. "OOOOH NIMEMUACHA ILA BADO NAMPENDA" "OOOOH NATAMANI KUMRUDIA ..."

Hakuna niliposema kuwa natamani kumrudia. Soma vizuri. Halafu kama huna ushauri, potezea.
 
Hahahah kumbe pesa imekuuma ziaidi si kuwa demu wako anagawa, sasa acha hizi gear, ungekuwa na mapenzi ya dhati labda shetani asingekufikisha kwa huyu gume gume.

Ndo hivyo mali ya bahili huliwa na werevu!
 
Mimi nilimkuta wangu live akiliwa na bausa mmoja hivi kwa kula chabo kupitia dirishani geton kwake baada na mdada mmoja shoga yake.

Nilihonga
1. Simu(huawei) 250,000
2. Flatscree 450,000
3. Mtungi wa ges 70,000
4. Pas ya umeme 40,000
5. Extension cable 20,000 nk

Na bado nilisamehe, ila roho iliniuma sana takriban mwezi mzima sina raha

Labda urefu wa hela yako unazidi wake ndio maana ameumia sana...
 
Kusema ukweli nilimpa simu mwenyewe lakini ndo hivyo ni sawa na kuhonga. Nilidhani atakuwa na mimi pekee yangu. Kinachoniumiza sijawahi kutoa zawadi au kuhonga kitu cha thamani ya zaidi ya sh 10,000. Maumivu yapo hapo. Hadi sasa nahisi hasira kali, nikimkamata kwanza nahisi kumchapa makonde nimnyanganye na simu hata kama hatuna mkataba wa maandishi. Matumizi na vocha namwekea tena vifurushi vya mwezi. Kama ni kumtia nampa dozi ya uhakika hadi na yeye anakubali, sijui pepo gani limeingia

Tulizaaa mchecheto yaheee..
Mwana fa ana sema kila boss na boss wake
Kila mnyonge na mnyonge wake.....
wakikumegea dem wako nawewe tafuta mnyonge ummeege dem wake...
 
Mpaka namhonga mwanamke dat much money.,atakua ni mke au mtarajiwa wangu (simhongi bali nampa hiyo hela) mechi za ugenini/kirafiki hyo hela nyingi sanaaa either way utakuwa na mdomo mzito kijana.Jifunze kumpata mwanamke unayemtaka bila kuhonga, spending shud come under normal circumstances.

Very Correct!!!
 
Back
Top Bottom