Najuta kujifunza kuhonga msichana

Najuta kujifunza kuhonga msichana

atoto me naona we size yangu, nianze na nini?
 
Last edited by a moderator:
Mtegee mtego. Mwite gheto, ukiwa umempa ahadi kwamba una zawadi kwa ajili yake. Akifika tu, umkwapue smartphone yake hiyo uliyomnunulia then umtimue ajichanganye zake malaya!! Ndio dawa yao.
 
Eti hujawahi kutoa zawadi ya thamani ya zaidi 10000 kwa dem. ulikuwa unachukuwa dem wa level gani mkuu. Hata hivyo potezea hawa viumbe hawadhibitiki kwa fedha tu tafauta mwingine mhonge zaidi ya huyo ulimpa cm
 
hahahaaaaaa.....umenifurahsha sana....so mwambie mwenzako asipaninick sana coz 650 ni ndogo tu we ushahonga zaidi yake

Lakini wanawake wana roho mbaya daaa! Yani yaani wanakula vitu vya bei bado wanasaliti
kwa vile bi biashara kama ya kuuza gongo ningesema ni dhambi !
 
Hata uhonge meli kama hujui kumridhisha utachapiwa tu!! Sasa patapicha jamaa linavyomkunja kama kambale vile!! hahahaaaaaaaa

Mwachie tu simu hiyo coz nawe si ulimaliza haja zako pale?? Pumziko ulilopata unaweza kulirudisha??
Uko shahihi na pia kutoka nje si kumridhisha tu kuna mambo mengi. kama imekuuma na unataka kumwacha mwache na simu mwachie na kama unaendelea kumpenda endelea naye tu
 
Siishi naye. Anaishi kwao. Jana aliniaga anakwenda UDOM kufuata cheti chake. Lakini toka asubuhi hapokei simu. Muda huu ametoka kunitumia text hii.....baby huamini kama nimesafiri? kwenye gari kelele nyingi ndo maana cpokei simu zako. But, kiuhalisia huu ni half time ya mgegedo. Duh, imeniuma siyo siri, mara ya kwanza kuchapiwa. Huwa naacha siyo kuachwa!

Kwani akigawa uroda ndio kakuacha? Atakuwa anafanya mazoezi ya kunengua ili akunengulie vizuri zaidi game lifuatalo.
 
Aiseee nyie mnahitaji pole kabisaaa

Wee HoneyFaith sema ukweli hamgongwi ndonga kwenye hayo malexus tunayowanunulia!!?Usikatae kwa ushabiki hapa,tunawapa huduma zote na ndonga za nguvu mnafika kileleni mara kibao kila round lakini kama wakuchomoka utachomoka tu!
 
Wee HoneyFaith sema ukweli hamgongwi ndonga kwenye hayo malexus tunayowanunulia!!?Usikatae kwa ushabiki hapa,tunawapa huduma zote na ndonga za nguvu mnafika kileleni mara kibao kila round lakini kama wakuchomoka utachomoka tu!

Hata baiskeli tu ya anitha sijawahi kuhongwa sembuse gari?
 
Awe wako pekee yako ulimuzaa???😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Mpaka namhonga mwanamke dat much money.,atakua ni mke au mtarajiwa wangu (simhongi bali nampa hiyo hela) mechi za ugenini/kirafiki hyo hela nyingi sanaaa either way utakuwa na mdomo mzito kijana.Jifunze kumpata mwanamke unayemtaka bila kuhonga, spending shud come under normal circumstances.
 
sijalih

Huu ujinga sijawahi fanya tokea nizaliwe hahaha Lol.
Ukimuona mwanamke yeyote mzuri ujue kuna jamaa/mtu ameshakua fed up nae ni wewe sasa ku play smart.
 
Last edited by a moderator:
sijalih

Ahaaaaa ndogo hivyo hata one million haifiki?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom