Najuta kujifunza kuhonga msichana

Najuta kujifunza kuhonga msichana

Kusema ukweli nilimpa simu mwenyewe lakini ndo hivyo ni sawa na kuhonga. Nilidhani atakuwa na mimi pekee yangu. Kinachoniumiza sijawahi kutoa zawadi au kuhonga kitu cha thamani ya zaidi ya sh 10,000. Maumivu yapo hapo. Hadi sasa nahisi hasira kali, nikimkamata kwanza nahisi kumchapa makonde nimnyanganye na simu hata kama hatuna mkataba wa maandishi. Matumizi na vocha namwekea tena vifurushi vya mwezi. Kama ni kumtia nampa dozi ya uhakika hadi na yeye anakubali , sijui pepo gani limeingia
hapo kwenye mstari umetumia kigezo gani mkuu kama kweli ankubali show yako??
 
Pole sana mkuu. Unamnunulia mwanamke asiye mke wako simu ya 650,000? Ulijua uko mwenyewe eehh!! Ama kweli wajinga ndio waliwao!
 
Mtoto wa kiume acha kulalama kama mkiwa,piga chini huyo.
 
Wageni wa ngono mko wengi! Sasa aliekwambia zawadi yenye thamani ni kinga ya kugingewa nani?

Binti anasomeshwa kuanzia sekondari mpaka chuo na kaxi anatafutiwa lakini bado anasaliti ndoa sembuse kisimu chini ya milioni.

Watu wanahonga nyumba na bado wanaba_nd_uuuliwa! Mwanamke akiamua lake haangaliii alipotoka. Ila unavyoonekana unafikiri pesa ndo kila kitu utachunwa sana. Tena wengine watakuchuna na papuchi usiiione.
""usitumie peeesa kama fimbo kaka, kwani baaada ya makubaliano hapo ndipo pesa huwa na thamani eeeeeh""

WEWE MGENI WA MAPENZI
 
pole sana aisee mapenzi upofu, mm nlinunua sim na bado nkawanaibiwa na mwizi namjua na nkamsamehe pia ila tukashindwana
 
Kanunua simu kampa demu walipoachana kampokonya..isa kijoti
 
Kusema ukweli nilimpa simu mwenyewe lakini ndo hivyo ni sawa na kuhonga. Nilidhani atakuwa na mimi pekee yangu. Kinachoniumiza sijawahi kutoa zawadi au kuhonga kitu cha thamani ya zaidi ya sh 10,000. Maumivu yapo hapo. Hadi sasa nahisi hasira kali, nikimkamata kwanza nahisi kumchapa makonde nimnyanganye na simu hata kama hatuna mkataba wa maandishi. Matumizi na vocha namwekea tena vifurushi vya mwezi. Kama ni kumtia nampa dozi ya uhakika hadi na yeye anakubali, sijui pepo gani limeingia

Inawezekana mwenzio anatoa dozi Kali kote hadi tigo
 
Nilitokea kumpenda demu mmoja,nikavutiwa naye nikamtongoza akakubali. Baada ya kula vitu siku ya kwanza nikanogewa. Nikaamua kumpa simu, smartphone Nokia Lumia TZS 650,000.

Nimekaa naye kama miezi 4 hivi sasa nikila vitu. Juzi nimegundua kuna jamaa anatembea na msichana wangu. Nimeumia sana,nilimkamata kwa text, na akakiri ni boyfriend wake wa zamani lakini akaniahidi kutorudia kwamba ilitokea bahati mabya.

Sijaamini hasa sikuwahi kuhonga msichana zaidi ya sh 10,000 sasa hiyo laki 6 inaniuma sana. Leo kaaga anasafiri lakini hata simu hapokei. Anatuma text tu,hivi sasa ninavyoandika najua yumo analiwa na huyo jamaa. Nimepanga kumnyanganya simu.

Au nifanyeje wanaume wenzangu nipeni ushauri

hawana adabu sana ndio maana asogae mbele kwangu nagonga na kusepa, huwa sirudii, awe mke wa mtu au awe hajaolewa kwangu ni hit and run ila mke wa mtu nasoma alama za nyakati kwanza kabla ya kufanya maamuzi, unaweza ukajikuta unachezeshwa kibao kata
 
Neno hili "mfueni" limenikumbusha mbali. Kizazi hiki cha div5 hakiwezi kulijua hili!

aachane nae tu laki sita na nusu kitu gani, ni kumfungia madirisha tu au mvalie miwani ya mbao, maisha yanasonga mbele
 
hapo kwenye mstari umetumia kigezo gani mkuu kama kweli ankubali show yako??

hawa watu hawana mambo ya show, iwe kali iwe nyepesi bado tu ataenda kuchapwa kwingine, imekuwa ni fani kwao siku hizi, ndio maana taifa linaangamia kutoka utawala mpaka watu wenyewe, angalia mkwere anavyotupeleka
 
Hahahahahah aclalamike kugongewa tu inawezakana hamtii vizuri, jipange baba

kumtia vizuri kivipi, unataka jamaa awe na kitu ka tunda na mbuyu au, nyie huwa hamridhiki kabisa ka mafisadi ya hapa kwetu
 
hivi ushawahi kutoa mchango wa kanisa/msikiti unaofika kiai hicho ? nauliza tuuu
 
Hahahahahaah..Mkuu laki sita tu unalia hivi?

Alafu sio busara kwa mwanaume kunyang'anya vitu mnapoachana.

Afu be serious bana....wewe laki sita unalia hivi je wanaohonga wilaya?


cc miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom