Najuta kujifunza kuhonga msichana

Najuta kujifunza kuhonga msichana

Nilitokea kumpenda demu mmoja,nikavutiwa naye nikamtongoza akakubali. Baada ya kula vitu siku ya kwanza nikanogewa. Nikaamua kumpa simu, smartphone Nokia Lumia TZS 650,000.

Nimekaa naye kama miezi 4 hivi sasa nikila vitu. Juzi nimegundua kuna jamaa anatembea na msichana wangu. Nimeumia sana,nilimkamata kwa text, na akakiri ni boyfriend wake wa zamani lakini akaniahidi kutorudia kwamba ilitokea bahati mabya.

Sijaamini hasa sikuwahi kuhonga msichana zaidi ya sh 10,000 sasa hiyo laki 6 inaniuma sana. Leo kaaga anasafiri lakini hata simu hapokei. Anatuma text tu,hivi sasa ninavyoandika najua yumo analiwa na huyo jamaa. Nimepanga kumnyanganya simu.

Au nifanyeje wanaume wenzangu nipeni ushauri

Madada poa wa standard nzuri wanauza 20,000 kwa bao moja
650,000/20,00=32. Hakikisha unamgegeda mara 33 kisha mteme..utakuwa umempunja sh 10,000 and she will be the loser...not you
 
Nilitokea kumpenda demu mmoja,nikavutiwa naye nikamtongoza akakubali. Baada ya kula vitu siku ya kwanza nikanogewa. Nikaamua kumpa simu, smartphone Nokia Lumia TZS 650,000.

Nimekaa naye kama miezi 4 hivi sasa nikila vitu. Juzi nimegundua kuna jamaa anatembea na msichana wangu. Nimeumia sana,nilimkamata kwa text, na akakiri ni boyfriend wake wa zamani lakini akaniahidi kutorudia kwamba ilitokea bahati mabya.

Sijaamini hasa sikuwahi kuhonga msichana zaidi ya sh 10,000 sasa hiyo laki 6 inaniuma sana. Leo kaaga anasafiri lakini hata simu hapokei. Anatuma text tu,hivi sasa ninavyoandika najua yumo analiwa na huyo jamaa. Nimepanga kumnyanganya simu.

Au nifanyeje wanaume wenzangu nipeni ushauri

Kwani ulilazimishwa kumpa hizo pesa?si ulimpa kwa kupenda kwako!Fact kuna watu hawana fadhila kheri ya mnyama kama mbwa kwasababu mbwa ukimthamini nae atakuthamini na kukulinda!Wewe jipange upya tu maisha yatamfundisha kitu huyo kimeo!Wewe si wa muhimu kwake so huwezi kulibadili hilo!Achana nae!
 
Back
Top Bottom