Najuta kujifunza kuhonga msichana

Najuta kujifunza kuhonga msichana

dogo kasimu ka 650,000 ndio unapiga makelele hapa, je wenzio tunaohonga magari....
 
Sasa huyu ndugu kaLumia ka 650 povu debe na sie tunaonunua malexus na bado papuchi zinagongwa kwenye hayo hayo malexus tunayonunua tusemaje!!?
Hahahahah halooooh huo ndo mgawanyo wa majukumu babu, una pesa ila co mtundu mwenzio kapuku lakn anaujua mchezo acha akusaidie
 
utakua boya wa kupenda michepuko.toa wenzio wapewa bure.nokia lumia wakati mama yako anatumia kisimu amefunga na mpira battery mbovu.unw laana wewe
 
ujui kuula mzigo.ata huonge mgodi wa tanzanit utatom@@$$$#¥₩ tu.kwanza pekua tigo kavukavu maana huyo demu ndio mchezo wake.wewe unalete huruma.ushaumia
 
Hata uhonge meli kama hujui kumridhisha utachapiwa tu!! Sasa patapicha jamaa linavyomkunja kama kambale vile!! hahahaaa. Mwachie tu simu hiyo cause nawe si ulimaliza haja zako pale? Pumziko ulilopata unaweza kulirudisha?

Jamani watu mno vituko, Meli??
 
mkuu watu wana honga ma VX na bado wanagongewa!, ijekuwa hako ka Lumia kako tu ndo unataka kukafata!!
 
mkuu wewe umeruka stage from 10,000/= hadi 650,000? hapo gap ni kubwa sana, mimi nilianzaga na Tsh.1500/= nikawa napanda mpaka 8,000/= na hapo ni baada ya kujiridhisha na mahitaji ya muhusika kwa sasa siendi zaiadi ya 15,000= amabayo nimeipandisha kutokana na mfumuko wa maisha.. kwahiyo nakushauri uende uka mkpokonye simu yako huyo dada haraka sana ili ufuate steji husika mkuu. Ahsante
Monanja
 
Unajua maana ya kuhonga mkuu..kama kweli ulikuwa unajua unahonga it means ulikuwa unanunua love..it was a biznes..umetoa simu ukapewa penzi..if u nid more love inabidi utoe zaidi
 
Mwanamke ni kama line ya TIGO,kifurushi kikiisha unatakiwa uricharge upya.Hapo kifurushi chako kimeisha tembea mbele bro!!!
 
mkuu wewe umeruka stage from 10,000/= hadi 650,000? hapo gap ni kubwa sana, mimi nilianzaga na Tsh.1500/= nikawa napanda mpaka 8,000/= na hapo ni baada ya kujiridhisha na mahitaji ya muhusika kwa sasa siendi zaiadi ya 15,000= amabayo nimeipandisha kutokana na mfumuko wa maisha.. kwahiyo nakushauri uende uka mkpokonye simu yako huyo dada haraka sana ili ufuate steji husika mkuu. Ahsante
Monanja

Mkuu umenichekesha sana..
 
Kusema ukweli nilimpa simu mwenyewe lakini ndo hivyo ni sawa na kuhonga. Nilidhani atakuwa na mimi pekee yangu. Kinachoniumiza sijawahi kutoa zawadi au kuhonga kitu cha thamani ya zaidi ya sh 10,000. Maumivu yapo hapo. Hadi sasa nahisi hasira kali, nikimkamata kwanza nahisi kumchapa makonde nimnyanganye na simu hata kama hatuna mkataba wa maandishi. Matumizi na vocha namwekea tena vifurushi vya mwezi. Kama ni kumtia nampa dozi ya uhakika hadi na yeye anakubali, sijui pepo gani limeingia
Hapo umechemka kisawasawa. Mwanaume hawezi kuthibitisha kuwa anampa dozi kisawasawa. Je, kama anapenda TIGO wewe ukaenda voda hata mara 100 unadhani atakuwa ameridhika? Huu ni mfano tu. Nadhani anayemkongoli sasa ndiye anamkojoza
 
Back
Top Bottom