Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,665
simu...
nshasahau hata nilikuwa naulizia nini?
kwa hiyo ulikuwa unasema simu imefanya nini?
simu...
Kwa hiyo simu ya 650000 kwako wewe is nothing siyo? ulitaka ahonge ya sh ngapi ili iwe halali kulalamika akigongewa? Hivi kwa mtanzania wa kipato cha kati laki sita ni pesa kidogo? Halafu tunasema maisha magumu?
nshasahau hata nilikuwa naulizia nini?
kwa hiyo ulikuwa unasema simu imefanya nini?
Kuhonga + kitandani mkali = Kusalitiwa 10%
Kuhonga + Kitandani ----- = Kusalitiwa 90%
Kitandani mkali = Kuhonga na kuhogwa.
Watu wanahonga mpaka ukuu wa wilaya na wanachapiwa vile vile, wewe kuhonga simu tu unachanganyikiwa!, usikute baada ya kuhonga hiyo simu hujawahi mpatia kitu kingine tena, sasa huyo mwingine katafuta wa kumuwekea vocha kwenye hiyo simu, wanawake siku hizi kuchuna ni carrier kijana.
Kuhonga + kitandani mkali = Kusalitiwa 10%
Kuhonga + Kitandani ----- = Kusalitiwa 90%
Kitandani mkali = Kuhonga na kuhogwa.
simu inaita....
Kula tano mkuu
alafu ndo ikawaje, ukapokea kwa kubonyeza?
sikubonyeza nilitouch tu
Mnh mbona ulisema ni ya kubonyeza.
hiyo ni ya switi