Najuta kuingia katika mahusiano ya mama mtu mzima

Marco Polo

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
9,069
12,653
Kuna mmama kijana ana shepu la haja sio mchina, niliingia naye kwenye mahusiano ya kimapenzi ya siri siri bila watu wengi kujua maana nilikuwa nakutana nae usiku alafu juu kwa juu, nimetokea kumchoka huyu mama na juzi kati nikaamua kumtamkia kwamba simtaki.

E bwana eeeh! Balaa lake sio dogo maana mama wa watu anatishia oohh! Sijui nitakuja home kwenu kukinukisha ili watu wote wajue, Mara nitakufuatilia yaani mpaka nimechoka aisee. Ukiangalia mtaani watu wananichukulia kama Pastor flani hivi. Sasa hapa sijui nimfanyaje huyu mama maana naona kama anataka kuniharibia gazeti kitaani.

Ushauri:
Vijano epukeni sana kuingia kwenye mahusiano na wamama maana wakipenda ndio washapenda hawasikii hawaambiwi.
 
n
ipm namba yake ya simu, ataacha kabisa kukufuatilia. tafadhali nipe namba yake ya simu.
 
Usionyeshe kumuogopa hata kidogo,akisema nakuja kwenu we mwambie njoo,kweni nini bhana.anakutisha tu huyo kaona unaogopa anajaribu kukupiga mkwala ulegee uendelee nae
 
Ni ving'ang'anizi haaaaooooooo…ilishanikumba hii makitu na hadi sasa bado anakuja kwa kasi sema tu vile namkazia
 

HIVI NA NYINYI PRE-FORM MSHAFUNGA SHULE??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…