Najuta kuchelewa kuijua ANDROID

Najuta kuchelewa kuijua ANDROID

My s3 ikiwa 3G hadi sasa iko 71% ya battery huku ikiwa imerun for 20hrs kawaida nakaa nayo 37-40 hrs on net.
 
huko kwingine mbwembwe tu samsung galaxy note II GT N7100 ile ni sayari nyingine ...nahc kama napata raha na mrembo ndani ya swimming pool
 
Mmh... Mimi yangu ina option ya 3G au 2G kweli?
Naona ni 3G tu.... Labda sielewi.
Ni Galaxy S II
 
huko kwingine mbwembwe tu samsung galaxy note II GT N7100 ile ni sayari nyingine ...nahc kama napata raha na mrembo ndani ya swimming pool
Kweli kabisa.
Ni nzuri japo niliiiona kwa jirani ila anafaidi.
Naipenda japo priorities zinabana
 
Kwa sababu ya full internet inarun vitu vingi ndo maana hata iphone haikai na moto kabisa ila unaweza kuzima 3G inakaa na charge sana uwashe tu pindi utakapotaka kuitumia.

Sure hiyo njia imenisaidia sana na mimi.
Pia hata ku'save chaji
 
Nashangaa sana kuona mtu anatumia nokia hadi leo!! Samsung+Android=utamu....
 
achana na iyo makitu...kuna kitu inaitwa TECNO Q1...Android ni balaa

achana na hiyo makitu,kuna kitu TECNO A7 PHATOM hicho ni balaaa,N7 yenyewe haigus hapo kitu display ni hd.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1373293243992.jpg
    uploadfromtaptalk1373293243992.jpg
    45.2 KB · Views: 252
wakuu mimi nimetumiwa galaxy 2 ila lugha ya kispania...sielewi chochote hapo
ila pia ina kitu kinaitwa MOVISTAR inacho ifanya simu yangu ishindwe kusupport internet setting
naomba msaada.
 
Back
Top Bottom