Najuta kuchelewa kuijua ANDROID

Najuta kuchelewa kuijua ANDROID

Kwa sababu ya full internet inarun vitu vingi ndo maana hata iphone haikai na moto kabisa ila unaweza kuzima 3G inakaa na charge sana uwashe tu pindi utakapotaka kuitumia.

Way back nilivyoanza tumia apple products ,hususani cm niliona azikai na charge, lkn toka nianza kuclear background apps ambazo zina run na kupunguza mwanga kwenye screen mambo mrua, sio hizi android khaaaa !!charge aikai kabisa alafu nyepesi kuchanganyikiwa ukizipa mzigo wa kutosha
 
Naunga mkono hoja, akigusa na ios, atajuta tena kwanini hakuijua mapema.

Shida bei kaka! Watapotea kwenye uso wa dunia hii wakigang`ania mabei yao ya juu. 1ps ya iphone unapata 4pcs za tecno yenye uwezo sawa na hiyo iphone.. hapa naimanisha mfano iphone 4 vs tecno n7.
 
mkuu iphone ni premium ina vitu vingi sana simu si processor na ram tu kama watu wengi walivyo brainwashed
 
We ulikuwa bado kwenye ujima? Mi nina muda mrefu natumia hii kitu. Ni over computer. Ina speed kali na ina danlodi kila kitu kwa uharaka kabisa. Kwa vidio ndo usiseme inadanlodi bila kusitasita tatizo ni picha ukipiga baada ya mda hazifunguka hapa nahitaji msaada
 
Hahahaaa ulichelewaaa aisee si tupoo huku mdaa me nlianza na I phone 3gs nkaja I phone 4 nkahama iOS saivi nipoo android na xperia but me naonaa iOS INA complication sio kama android japokuwa apple ndio matajiri wa apps
 
Hivi iphone na Samsung ipi safi wadau?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ndg hizi simu ukishindana nazo utakufa masikini kwa ujumla mm nishatumia ios,android,symbian,os na windows.hakika uzur wa simu unategemea na nn unapendelea kwenye simu utumie kama u mtu wa kuckiliza music na kubrowse kama mm basi angalia simu yenye uwezo huo na kweli nimekuta ni symbian na blackberry atleast kwangu znakaa na charge a day!android kwangu hata masaa sita haimaliz,so naona kila mtu aangalie kipi anapenda kwenye simu n hilo tu kama ushaur wa ziada
 
kula like mkuu
 
Back
Top Bottom