Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,889
- 35,948
Siri za kifamilia unazileta nje??Mkataba wangu wa kazi uliisha nikatafuta kazi sehemu nyingine nikapata,mme wangu akanishawishi kuwa mshahara ni mdogo kuliko Mwanzo halafu ni mbali na yeye so bora nijiajiri huku nikiangalia fam kwa ukaribu
Toka nimeacha kazi,nakosa hata pesa ya mahitaji yangu muhimu,mtaji nilioahidiwa siuoni,nna madeni chungu nzima coz nawasomesha wadogo zangu wawili walikoko college(jamaa hajawi hata kunisupport na anajua situation ya nyumbani kwetu) inaniuma sana pale mama yangu anaponiomba hata elfu 20 nakosa ya kumpa wakati nikiwa kazini nilikuwa nampa pesa nyingi na kuhudumia fam bila shida..
Roho inaniuma coz ninashuhudia jinsi mme wangu na wanafamilia wenzie wanavyopanga budget ya matumizi ya wazazi wao (kwa whattsapp family group na amount ili wawapelekee wazazi wao wakati mimi mama yangu hana kitu kabisa..kwa kweli nimekata tamaa na sijui hata nifanye nini[emoji24][emoji24]kuna wakati natamani hata kurudi kwetu ili nikajipange upya na kuanza upya maisha yangu ila nafsi inakataa
Note:mme wangu hajawahi kunikosea ni mambo kama hayo tu ndo yanayoniumiza,halafu anapenda niende kwao tu,hataki niende kwetu na wakati njia ya kwenda kwao ni lazima upite mkoani kwetu na mara nyingi tunakuwa na private car but kupita anakuwa mgumu sana..hivi wanawake wenzangu mliopo kwenye ndoa situations kama hizi mnazihandle vipi?NISAIDIENI NAKUFA kwa MAWAZO
PS: NSSF nao wananizungusha kweli kunipa kapesa kangu kadogo,nina imani nikikapata katanisaidia kuinuka tena
Mpenzi huyo mmeo kazidi sasa hata kama ni ubinafsi si hivyo, niachishwe kazi hata matumizi yangu nikose aise hapana, wakati mwingine tunajifundisha kjongea pasipo kupenda wala kutaka huko nikuburuzana sasa, tafuta kazi mwenzangu maana utapauka mpaka, na usitafute kwa ubabe mwambie mtu kukaa bila kazi siwezi ili usionekane mbabeAsante,mkuu nakwambia hivi pesa ya kujikimu mahitaji yangu mwenyewe nakosa kwa mfano wakati nipo kazini nilikuwa naenda saloon nasuka,nafanya pedicure now siwezi coz nakosa hiyo pesa
Sokoni huwa naenda naye tunanunua vitu yeye analipa hapo ndo ilipo changamoto,pesa yake kuishika ni mpaka awe amesafiri na hapo vitu vinakuwepo ndani so ndo anaweza akaacha pesa kiasi ya emergency
Mkuu kumbe ushaolewa? Basi nimechelewaWanaume wengi hawapendi tufanye kazi ila pia hawataki tuwategemee kwa kila kitu. Akili kumkichwa, anaekushawishi kuacha kazi ilihali hakusaidii kwa lolote inapaswa ujitafakari sana maana kuna leo na kesho.
Single tunakujaDoh!. Pole sana. Utakua kiaina unamuogopa mmeo. Means sio rafikiako kiviiile..
Me siko kune ndoa. Ushauri wangu unaweza kua ni wa ki-wapenzi zaidi.. ila pole sana
Yupo close na dada yake kuliko wewe?
Kujenga hoja ni mtihani kwa wengi. Inawezekana ana suala la msingi, ila namna anavyolielezea linamfanya aonekane 'mtu wa ajabu'. Lazima tumuambie ukweli kwasababu vinginevyo hili jambo litamvunjia ndoa yake. Lakin pia, lazima aelewe kwamba kama anataka mtaji, sio lazima apewe na mumewe. Aombe kwa ndugu zake, wajomba, binamu, apate mtaji afanye biashara. Pia, lazima aonyeshe nia. Aanze hata kuuza maandazi(mtaji wake ni mali kauli kwa mangi-mafuta,unga,hamira).Chapati ni rahisi zaidi. Let her take initiatives.Duuuh!.. sidhani kama uko fair. Maneno ya mtu alieshiba bila kujali asienacho.
Watu mnafurahiaga sana kumdunisha mtu alie tiari hajiwezi. Mnaona mko sawa yote mnayofanya na kuvijustify in a best twisted way..
pole mama,,ila ulikosea sana kuacha kazi mapema bila kupewa msingi wa mtaji kwanza,,ilitakiwa akupe kwanza at least 10-15m ndio uache kazi,,sometimes sisi wanaume tuna porojo nyingi kwa wake zetu ila kuzitekeleza ndo inakua ngumu,,huyo jamaa alikua anatamani tangu cku nyingi ubaki nyumbani ulee familia,kifupi ni kwamba hataki ufanye kaziMkataba wangu wa kazi uliisha nikatafuta kazi sehemu nyingine nikapata,mme wangu akanishawishi kuwa mshahara ni mdogo kuliko Mwanzo halafu ni mbali na yeye so bora nijiajiri huku nikiangalia fam kwa ukaribu
Toka nimeacha kazi,nakosa hata pesa ya mahitaji yangu muhimu,mtaji nilioahidiwa siuoni,nna madeni chungu nzima coz nawasomesha wadogo zangu wawili walikoko college(jamaa hajawi hata kunisupport na anajua situation ya nyumbani kwetu) inaniuma sana pale mama yangu anaponiomba hata elfu 20 nakosa ya kumpa wakati nikiwa kazini nilikuwa nampa pesa nyingi na kuhudumia fam bila shida..
Roho inaniuma coz ninashuhudia jinsi mme wangu na wanafamilia wenzie wanavyopanga budget ya matumizi ya wazazi wao (kwa whattsapp family group na amount ili wawapelekee wazazi wao wakati mimi mama yangu hana kitu kabisa..kwa kweli nimekata tamaa na sijui hata nifanye nini😭😭kuna wakati natamani hata kurudi kwetu ili nikajipange upya na kuanza upya maisha yangu ila nafsi inakataa
Note:mme wangu hajawahi kunikosea ni mambo kama hayo tu ndo yanayoniumiza,halafu anapenda niende kwao tu,hataki niende kwetu na wakati njia ya kwenda kwao ni lazima upite mkoani kwetu na mara nyingi tunakuwa na private car but kupita anakuwa mgumu sana..hivi wanawake wenzangu mliopo kwenye ndoa situations kama hizi mnazihandle vipi?NISAIDIENI NAKUFA kwa MAWAZO
PS: NSSF nao wananizungusha kweli kunipa kapesa kangu kadogo,nina imani nikikapata katanisaidia kuinuka tena
Hapo umeliwa yaani sio vizuri kabisa na ndiyo unakosa mahutaji muhimu , huko wanashauriana kwanza, kwani huyo dada yeye hana mme mpaka anapata muda wakuongea na kaka yake hivyo asiongee na mmewe? Kaa chini na mmeo uongee naye taratibu huenda mazingira aliokuliaNinavyoona..mambo mengi huwa anaanza kumwambia dadake halafu mi ndo nafuatia au unakuta kingine hajaniambia bado kwenye story na dadake anajikuta kaniambia akidhani najua kumbe nakuwa sijui..ila siwezi kumjudge katika hili
Yaani kukaa nyumbani sio tatizo, lakini tatizo linalokuja mahitaji muhimu baba hawajibikipole mama,,ila ulikosea sana kuacha kazi mapema bila kupewa msingi wa mtaji kwanza,,ilitakiwa akupe kwanza at least 10-15m ndio uache kazi,,sometimes sisi wanaume tuna porojo nyingi kwa wake zetu ila kuzitekeleza ndo inakua ngumu,,huyo jamaa alikua anatamani tangu cku nyingi ubaki nyumbani ulee familia,kifupi ni kwamba hataki ufanye kazi
Jaribu kutafuta mtu wa NSSF uongee nae akusaidie ku push your issue.Mkataba wangu wa kazi uliisha nikatafuta kazi sehemu nyingine nikapata,mme wangu akanishawishi kuwa mshahara ni mdogo kuliko Mwanzo halafu ni mbali na yeye so bora nijiajiri huku nikiangalia fam kwa ukaribu
Toka nimeacha kazi,nakosa hata pesa ya mahitaji yangu muhimu,mtaji nilioahidiwa siuoni,nna madeni chungu nzima coz nawasomesha wadogo zangu wawili walikoko college(jamaa hajawi hata kunisupport na anajua situation ya nyumbani kwetu) inaniuma sana pale mama yangu anaponiomba hata elfu 20 nakosa ya kumpa wakati nikiwa kazini nilikuwa nampa pesa nyingi na kuhudumia fam bila shida..
Roho inaniuma coz ninashuhudia jinsi mme wangu na wanafamilia wenzie wanavyopanga budget ya matumizi ya wazazi wao (kwa whattsapp family group na amount ili wawapelekee wazazi wao wakati mimi mama yangu hana kitu kabisa..kwa kweli nimekata tamaa na sijui hata nifanye nini[emoji24][emoji24]kuna wakati natamani hata kurudi kwetu ili nikajipange upya na kuanza upya maisha yangu ila nafsi inakataa
Note:mme wangu hajawahi kunikosea ni mambo kama hayo tu ndo yanayoniumiza,halafu anapenda niende kwao tu,hataki niende kwetu na wakati njia ya kwenda kwao ni lazima upite mkoani kwetu na mara nyingi tunakuwa na private car but kupita anakuwa mgumu sana..hivi wanawake wenzangu mliopo kwenye ndoa situations kama hizi mnazihandle vipi?NISAIDIENI NAKUFA kwa MAWAZO
PS: NSSF nao wananizungusha kweli kunipa kapesa kangu kadogo,nina imani nikikapata katanisaidia kuinuka tena
Hapo kwenye kuwa na porojo nyingi ni sahihi kabisa. Kuna porojo unaweza kutamkiwa..... unabaki mdomo wazi. Unajifanya kama hujasikia hivi.... ili siku ipite.pole mama,,ila ulikosea sana kuacha kazi mapema bila kupewa msingi wa mtaji kwanza,,ilitakiwa akupe kwanza at least 10-15m ndio uache kazi,,sometimes sisi wanaume tuna porojo nyingi kwa wake zetu ila kuzitekeleza ndo inakua ngumu,,huyo jamaa alikua anatamani tangu cku nyingi ubaki nyumbani ulee familia,kifupi ni kwamba hataki ufanye kazi
umeoma mamaeee,mtuvumilie tu kwa kweli tulee familiaHapo kwenye kuwa na porojo nyingi ni sahihi kabisa. Kuna porojo unaweza kutamkiwa..... unabaki mdomo wazi. Unajifanya kama hujasikia hivi.... ili siku ipite.
Umecheka Sana.... Naona wewe ni mmoja wa wapiga porojo wazuri sana kwa mkeo....🤣🤣umeoma mamaeee,mtuvumilie tu kwa kweli tulee familia