Najivunia rangi nyeusi

Najivunia rangi nyeusi

Hmmmm wazungu wapi hao wanaopenda watu weusi? Kama wapo ni wachache sana wengine wanatuona ni misokwe iliyojisetiri na nguo.
Sitaki hata kusikia stori za wazungu maana niliexperience racism ya hali ya juu! Tena esp . kwa sisi wabantu yaani mtu anadiriki kusema mama zetu walizaa na masokwe kisa tuna pua pana wafupi halafu tumejazia jazia kama masokwe. Kwa cushites sijui hamitics wao afadhali wana pua ndefu , warefu na wako slenders wanawaona wanafanana nao kasoro rangi tu.

Na kwa Nilotes jee?......haujataja!
 
Lol.. hii 'sired' imenikumbusha kastory fulani...
Mwafrika alienda kupunga upepo beach akiwa na fuko lake la ndizi, pembeni yake alikaa mzungu ambae alikua amekuja na sokwe wake kupunga upepo.
Mida fulani, mwafrika akaenda chooni huku fuko lake la ndizi akiwa amemuomba mzungu amtazamie. Lahaulaaaa!!!! kurudi lile fuko liko tupu huku maganda yakiwa pembeni na sokwe akiwa anajiramba kumalizia uhondo wa ndizi. Mwafrika akamlalamikia mzungu. Ila jibu alilotoa mzungu lilikua "he is your brother, l couldn't stop him"
Jamaa akamezea ingawa ilimuuma. Kama bahati, mzungu nae akaenda chooni huku akiwa amemuacha sokwe wake chini ya uangalizi wa mwafrika. Aliporudi, akakuta sokwe wake amepigwa sana mpaka anatoka damu. Mzungu akapanick kutaka kujua kipi kimejiri. Mwafrika hakua na jibu lingine zaidi ya "Its a family matter, dont bother"....
 
We ni mchina?

Anyway... l am veeeeeeeeeere black and l love it toka moyoni.
Kuna wengine wanaweza kusema they are black and proud of their colour kwasababu walijikuta hivyo, wanajua madhara ya kujichubua ama uchumi hauruhusu ikabidi tu alazimike kuupenda ublack....
l talk a lot... shhh shhhh shhhh nameless...
No mimi sio mchina wala mzungu ila ni mweupw kwa sura lakini kwa kweli nafagilia sana ngozi nyeusi na nadhani nitaishia kuoa mwanamke mweusi@name
 
Habari zenu Wakuu, Always mi husema black is beauty na huwa najivunia being black nashangaa sana madada zetu na baadhi ya Makaka wasio jielewa wanavyohangaika kubadili rangi za miili yao nakuwa weupi!!
Wazungu wakija Tanzania ama Africa hupenda kutoka/kutembea real black people! do u knw y!!
Kwanza kabisa tunajoto halisi na la kipekee tofauti na wao ni wabaridi!!
Nyingine mtamalizia wenyewe wale wenye weusi uhalisia just lyk me tunaojikubali na kupenda rangi zetu.
Fungukeni nakukemea wale wasiojielewa na nakutojua thamani ya rangi halisi tulizopewa na Muumba!!!
Weka picha na nyuzi joto ulizonazo....Nikijiridhisha ntakuPM kukupongeza na mengineyo.!
 
Kula bata inaanzia ngapi? Na wanashop nini na wapi?

Na Faraja anakula bata na kushop?

Weweweeeeeeeeeee Faraja utampambanisha na Killy Janga? Jesca? Diana? Aaaah wapi! Wenzio hao wako level zingine, SHOPPING NEWYORK na PARIS hakuna maduka bongo ya kuwafaa. Sema watu wa kimya kimyaaaa sanaaa.
 
Lol.. hii 'sired' imenikumbusha kastory fulani...
Mwafrika alienda kupunga upepo beach akiwa na fuko lake la ndizi, pembeni yake alikaa mzungu ambae alikua amekuja na sokwe wake kupunga upepo.
Mida fulani, mwafrika akaenda chooni huku fuko lake la ndizi akiwa amemuomba mzungu amtazamie. Lahaulaaaa!!!! kurudi lile fuko liko tupu huku maganda yakiwa pembeni na sokwe akiwa anajiramba kumalizia uhondo wa ndizi. Mwafrika akamlalamikia mzungu. Ila jibu alilotoa mzungu lilikua "he is your brother, l couldn't stop him"
Jamaa akamezea ingawa ilimuuma. Kama bahati, mzungu nae akaenda chooni huku akiwa amemuacha sokwe wake chini ya uangalizi wa mwafrika. Aliporudi, akakuta sokwe wake amepigwa sana mpaka anatoka damu. Mzungu akapanick kutaka kujua kipi kimejiri. Mwafrika hakua na jibu lingine zaidi ya "Its a family matter, dont bother"....

very funny
 
Nina demu mspain kisa rangi yangu nyeusi....!!!!😛😛
 
Hmmmm wazungu wapi hao wanaopenda watu weusi? Kama wapo ni wachache sana wengine wanatuona ni misokwe iliyojisetiri na nguo.
Sitaki hata kusikia stori za wazungu maana niliexperience racism ya hali ya juu! Tena esp . kwa sisi wabantu yaani mtu anadiriki kusema mama zetu walizaa na masokwe kisa tuna pua pana wafupi halafu tumejazia jazia kama masokwe. Kwa cushites sijui hamitics wao afadhali wana pua ndefu , warefu na wako slenders wanawaona wanafanana nao kasoro rangi tu.

Jungle monkeys hahahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom