Kutembea na Wazungu ni kitu cha kujivunia?
Is this a lack of ambition or are you high on something?
mzungu sio mnafki akikupenda anakupenda kwa dhati toka moyoni michepuko haina nafasi kwake
Navijunia kuwa mweusi
Kumbe je? Ulikuwa HUJUI? Waulize wake za wazungu bongo wanavokula BATA hawalimi wala hawavuni, wana SHOP TU! Na kuzaa maybe!
mzungu sio mnafki akikupenda anakupenda kwa dhati toka moyoni michepuko haina nafasi kwake
mzungu sio mnafki akikupenda anakupenda kwa dhati toka moyoni michepuko haina nafasi kwake
We! Wacha kupotosha uma! Hiyo dhati ya mzungu inapimwaje? You want to tell us that those skins dont cheat? - prove your statement, unless, we wont understand you!
hata mimi nilipokuwa sijawahi kujichanganya na kuwafahamu wazungu, nilikuwa nafikiri kama wewe.
Baada ya kuwafahamu vizuri nilitambua kwamba michepuko haihusiani na rangi isipokuwa ni tabia ya mtu tu.
Tuache utani na nitazidi kusema mimi ni kijana wa kiume mweupe ila ngoz nyeusi ni zaidi ya beauty na ni watamu kupitiliza yaani baada ya bao moja na udenda mwingi unaukuta kwenye shuka. Mbarikiwe sana ngoz nyeusi na mnavutia sanaHabari zenu Wakuu, Always mi husema black is beauty na huwa najivunia being black nashangaa sana madada zetu na baadhi ya Makaka wasio jielewa wanavyohangaika kubadili rangi za miili yao nakuwa weupi!!
Wazungu wakija Tanzania ama Africa hupenda kutoka/kutembea real black people! do u knw y!!
Kwanza kabisa tunajoto halisi na la kipekee tofauti na wao ni wabaridi!!
Nyingine mtamalizia wenyewe wale wenye weusi uhalisia just lyk me tunaojikubali na kupenda rangi zetu.
Fungukeni nakukemea wale wasiojielewa na nakutojua thamani ya rangi halisi tulizopewa na Muumba!!!
tupo tunaojivunia kuwa weusi, and we love our skin... I will never trade my black color for anythinghebu tuacheni unafiki jamani, Mungu angetoa option ya kuchagua color nani angetaka kuwa black?
weusi upo juu ya ngozi tu, ukijichubua kidogo tu, unakuta weupe, na hii inaonesha wazi weupe ndo dominant.
Lakini siyo mbaya tukijifariji kwa weusi wetu, tukae tukijua imetokea tu.
Hahaha! Sasa moto+baridi ni sawa na bao moja kuchukua mrefu kufika kileleni ila ngoma zote zikiwa joto raha tupu kileleni haraka kwa wote na furaha nyingihHHahahahahaha hujawahi kuwaonja raha ya ngoma ingia ucheze usisubiri kuambiwa
I love black very muchtupo tunaojivunia kuwa weusi, and we love our skin... I will never trade my black color for anything
Tuache utani na nitazidi kusema mimi ni kijana wa kiume mweupe ila ngoz nyeusi ni zaidi ya beauty na ni watamu kupitiliza yaani baada ya bao moja na udenda mwingi unaukuta kwenye shuka. Mbarikiwe sana ngoz nyeusi na mnavutia sana
Kumbe je? Ulikuwa HUJUI? Waulize wake za wazungu bongo wanavokula BATA hawalimi wala hawavuni, wana SHOP TU! Na kuzaa maybe!
mzungu sio mnafki akikupenda anakupenda kwa dhati toka moyoni michepuko haina nafasi kwake