Najivunia kuzaliwa wa kike

Najivunia kuzaliwa wa kike

Aah machozi yananilenga lenga yaani hamna huruma kiasi hicho? Yaani tunabeba zege mpaka ghorofa ya 9 afu malipo kiduchu bado tukija kwenu kutaka faraja ya dk 10 na nusu bado mnaona haitoshi mkuu eti lituchome lituchome

Mwanaume lazma mutoke majasho kwa sana ndo nature ilivo. Sie tuzae kwa uchungu. Hamna cha huruma wala nini. Toeni hzo hela.
 
Hahahaaa mkuu kazi ngumu zinazeesha.
Mimi nikifel tu nakimbilia kuolewaaa.

Si mpaka umpate huyo wa kukuoa..maana siku hizi wasomi wanaoa wasomi wenzao...wafanyabiashara hivo hivo....i hearf kaka yangu anasema ooonh grace kapata four namuacha maana kila kitu kitakua ziro ziro
 
Hahahaaa bint mnaye tena mwenye akili zulizoenda shule

Kuna siku#cute b ulikuwa unevurugwa kuna huzi mmoja ulikuwa jf ulikuwa unajibu kama vile unastress million ila Leo naona uko vizuri sana hope siku yako ilienda vizuri sana Jana,na yawezekana jana ulipata kitu roho inapenda
 
Hahahaaa kujibu kama nina stress ndo aje mkuu? Kinyonge au?
 
Si mpaka umpate huyo wa kukuoa..maana siku hizi wasomi wanaoa wasomi wenzao...wafanyabiashara hivo hivo....i hearf kaka yangu anasema ooonh grace kapata four namuacha maana kila kitu kitakua ziro ziro

Wew acha izo mambo.
Ukifeli na ukiwa sio sista duu ndo utakoma.
Ila kwangu mie mbona wanajikomba hahahaaaaaaa (ila mimi sio sista duu)
 
Lakini kuzaliwa mwanaume siyo lazima uteseke, na kuzaliwa mwanamke siyo lazima uwe na unafuu. Pia kufeli hiyo mitihani haimanishi ndiyo kuanguka kwenye maisha. Tofauti ni kwamba mwanume anazaliwa na akili nyingi na kujitambua kuliko mwanamke. Mwanaume akishindwa jambo moja atajaribu lingine, ila mwanamke akishindwa jambo moja ataanzisha lawama na kutafuta urahisi.
 
Akuuu mimi sitaki kukaribishwa kijijini bhanaa wew endelea kulima siku ukiuza mazao njoo mjin nitafute

Haaaaaaaaaaaaaaa kuna kijiji na vijiji,Mimi nakukaribisha kijijin(literally meaning) karibu sana na hiv I uko below 25
 
Lakini kuzaliwa mwanaume siyo lazima uteseke, na kuzaliwa mwanamke siyo lazima uwe na unafuu. Pia kufeli hiyo mitihani haimanishi ndiyo kuanguka kwenye maisha. Tofauti ni kwamba mwanume anazaliwa na akili nyingi na kujitambua kuliko mwanamke. Mwanaume akishindwa jambo moja atajaribu lingine, ila mwanamke akishindwa jambo moja ataanzisha lawama na kutafuta urahisi.

Mkuu umeanza vizuri ila kumalizia umemalizia vibaya.
Wanawake tuna kitega uchumi bhana
 
women totaly fail all exams
 
Attachments

  • 1436003597369.jpg
    1436003597369.jpg
    16.5 KB · Views: 177
Back
Top Bottom