Najivua Gamba!!

Najivua Gamba!!

wa dodoma wote saaa hii wako chini ya himaya ya Mwita Maranya
muda huu wapo kwenye ligwaride kama la yule mkuu wa nchi moja hapo mpakani mwetu.
Wapi Husninyo mutoto ya Dodoma njoo huku babu yako matatizo yamenizonga.

Arusha one naomba unipe semina elekezi jinsi ya kuwakwapua hawa viumbe.
 
Last edited by a moderator:
Ushindwe, sikuachii ng'o
Unanishawishi nikuachie Bishanga hadharani??

amebaki mmoja tu naye anaitwa Kongosho
jaribu kumtafuta huyo, walau akikubali namimi nitakuwa na unafuu maeneo fulani fulani.
lakini usiseme hayo maneno hapo juu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom