Najivua Gamba!!

Najivua Gamba!!

haaaa,
umetokea wapi mwenyekiti
hivi na wewe umekuwa mkaguzi humu eti eeh.

Mgeni au mwenyeji tu huyu
mbona kaja na mbwembwe eti anataka wa kwake wa kwake tu
hizo falsafa za wapi.
Mkaribishe mgeni vizuri bana...
 
Mamdenyi. Huku kwema tu.

Nahitaji mwenyeji. Hawa wageni wakishazoea wanajifanya wanajua kila kitu zaidi ya wenyeji.


Hakuna mwenyeji aliyebaki ktk ule mgao wa kina Bishanga?

Kama vipi unga tela kwa Madame B uwe mume wa kumi na moja wakati unapata ekspiriens ya kumiliki wako binafsi..
 
Last edited by a moderator:
haaaa,
umetokea wapi mwenyekiti
hivi na wewe umekuwa mkaguzi humu eti eeh.

Mgeni au mwenyeji tu huyu
mbona kaja na mbwembwe eti anataka wa kwake wa kwake tu
hizo falsafa za wapi.

Ukiona hivyo ujue hataki stress ati...!!!
 
hakuna wa kukuondoa hiyo kitu
labda tu upate ile inayoitwa ni pangusa

hapa njoo tu pole pole Bishanga kwa kutumia pesa zake ameweza kumiliki sehemu kubwa ya 'ke' humu, japo mimi ndo
kwanza anaanza kuniandikia barua ya posa
kuna dada mmoja akiitwa Eliza wa Tegeta sijaonana naye siku nyingi najua hana mtu mjaribu au AmKATRINA naye ni kama hana mtu wa uhakika,
anzia hapo kwanza
siyo kulilia lilia watu humu kwa ajili ya shida zako.
Mamdenyi .Unafikiri kung'olewa kininiu ni kazi ndogo.
 
Last edited by a moderator:
Madame B inavyoelekea ni mteremko sana. Ila je unanihakikishia usalama wangu kwa Bishanga.

Sio mteremko ila ni mkarimu sana, anasema alichopewa bure na Mungu hamnyimi mtu. pale ndo pakupatia uzoefu..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom