Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,738
Mzee ukitaka wako peke yako nenda kuleeee chini kwenye jukwaa la wageni umshike mkono ujenae naukiingia nae hapa shurti umfunge kamba mguuni la sivyo ataibiwa ukishindwa we njoo ubanane na masupa staa
Hilo nalo neno. mtu gani anashida halafu ana mashart kibao.
Last edited by a moderator: