Najivua Gamba!!

Najivua Gamba!!

Mzee

Platinum Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,620
Reaction score
5,868
Ndugu mwenyekiti Baba V, pamoja na wakereketwa wote wa huu ukumbi.

Kwa moyo wangu wote nimeamua kujitupa uwanjani kutafuta wangu wa Ubani, wa kulia na kufutana machozi, wa kunivusha daraja hili la Uzee, wa kunikumbusha miaka kadhaa iliyopita.

Najua mlishaanza kugawana. Mara Lady doctor wa fulani. Hao siwataki maana kisu changu hakutaki shurba. Nawataka wote waliobaki baada ya mgao. Najua hawa tutaendana.

Sina hila, awe na sifa moja tu. Nayo ni jinsia nyingine ukiondoa hii yangu. Mengine ni mengineyo TU.

Tafadhali sina malengo ya kingilia mihimi iliyokwisha jengeka.

Nimetimiza Haki yangu ya Kujieleza.
 
Last edited by a moderator:
ha ha haaaa
unataka wa kwako peke yako kama mama yako aliyekuzaa
kachonge umweke chumbani, ha ha haaa
pole zako.
 
embu mwage sifa mi mwenyewe natafuta wa jinsia tofauti
 
Samahani kwanza kuanzisha Uzi na Kukimbia. Intaneti ilileta tabu kidogo.
 
ha ha haaaa
unataka wa kwako peke yako kama mama yako aliyekuzaa
kachonge umweke chumbani, ha ha haaa
pole zako.


Sitaki supa staa kama wewe. Mnagombaniwa kama mpira

Najua nitampata wangu wa Ubani, Mamdenyi
 
Last edited by a moderator:
Wa aina Yangu namuomba Anyoshe kidole.
 
Mzee ukitaka wako peke yako nenda kuleeee chini kwenye jukwaa la wageni umshike mkono ujenae naukiingia nae hapa shurti umfunge kamba mguuni la sivyo ataibiwa ukishindwa we njoo ubanane na masupa staa
 
Last edited by a moderator:
Sitaki supa staa kama wewe. Mnagombaniwa kama mpira

Najua nitampata wangu wa Ubani, Mamdenyi

Mbona humu ke wote ni ma supa staa ile mbaya
 
Last edited by a moderator:
Madame B , Mamdenyi , Lady doctor. Tafadhali nifanyieni promotion.


Upweke umenichosha, Namtaka wa kunikumbusha ujana.
 
Last edited by a moderator:
Mzee ukitaka wako peke yako nenda kuleeee chini kwenye jukwaa la wageni umshike mkono ujenae naukiingia nae hapa shurti umfunge kamba mguuni la sivyo ataibiwa ukishindwa we njoo ubanane na masupa staa
 
Last edited by a moderator:
Mzee ukitaka wako peke yako nenda kuleeee chini kwenye jukwaa la wageni umshike mkono ujenae naukiingia nae hapa shurti umfunge kamba mguuni la sivyo ataibiwa ukishindwa we njoo ubanane na masupa staa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom