Najiulizaga .....

funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
13,558
21,035
Naona kama natengwa humu JF au wasiwasi wangu tu sijui au ndio inaanza kupooza kama forum nyingine za zamani maana nikiandika topiki haichangamkiwi au tatizo liko kwangu mimi funzadume au jina langu baya?
 
ah ah ah u made my dai nadhani tatizo na ww huchangii mada za wenzio,au lugha hutumiayo haieleweki mfano hakuna kiswahili kisemacho najiulizaga,pia sehem ambayo upo uchafu /uozo I real dnt think mtu atapenda kuja hapo!need more explanation?
 
Ha haha una wasiwasi sana wewe ngoja hii nitaichangia mpaka ichangamke
 
Funza jamani mbona unajinyanyapaa bwana...hivi hilo unalolisema linawezekana kweli..?
 
Si kweli Funzadume,uko wapi sasa???umeandika thread ukala tena kona jamani?:plane::plane:
 
Naona kama natengwa humu JF au wasiwasi wangu tu sijui au ndio inaanza kupooza kama forum nyingine za zamani maana nikiandika topiki haichangamkiwi au tatizo liko kwangu mimi funzadume au jina langu baya?

tatizo avatar yako hiyo,
mzee unakula sana hiyo kitu,
wengine haramu humu jukwaani!
 
chek unaandika post znahusu nini
km zikisaund utoto/kudhalilisha watu au znazoboa lazima watu wapite juu shaaaaaaaaaaaa bila kuchangia...
vip iyo kitu mkonon ya wap?
namanga?au TUNDURU...ahh vya tarime vmepooza skuiz ..me naagiza mzigo toka VENEZUELAAAA kitu tyt kitu kinatoa high ya ajabu,...poa bas badaye....
 
Hii kitu ya Rolya ukivuta lazima ukate mapanga watu ni kama unapandikiza kichaa kwenye ubongo

hiyo ya Venezuela sidhani kama ni kali, jaribu kutafuta kitu cha Afghanstan mwana lazima uone nyota
 
tatizo avatar yako hiyo,
mzee unakula sana hiyo kitu,
wengine haramu humu jukwaani!
hii kitu we acha tu nimeanza nayo seko, nikaingia chuo, nikaajiriwa na mpaka sasa nataka kukacha kuajiriwa nijiajiri niko tu na kijiti ndio mwongozo wa maisha yangu nimevuta zaidi ya miaka 25
 
Si kweli Funzadume,uko wapi sasa???umeandika thread ukala tena kona jamani?:plane::plane:
mambo mengi unajua uzee nao tabu tupu nimeandika topiki halafu nikaisahau nadhani tatizo liko kwangu zaidi
 
nipo ila nadhani najistukia mwenyewe nimeshaanza kuzeeka siendani na kasi ya jukwaa
Msokoto huwa unaleta hallucination, au kwa lugha nyingine, angst (German word for fear or anxiety). Hebu jaribu kupunguza uone kama itasaidiaa. Nakushauri vuta mara mbili tu kwa siku!!!
 
Msokoto huwa unaleta hallucination, au kwa lugha nyingine, angst (German word for fear or anxiety). Hebu jaribu kupunguza uone kama itasaidiaa. Nakushauri vuta mara mbili tu kwa siku!!!
hapo kwenye red ongeza kidogo ifike hata mara 5 nitakuwa nime-under-dose sana
 
Back
Top Bottom