Najiulizaga .....

Naona kama natengwa humu JF au wasiwasi wangu tu sijui au ndio inaanza kupooza kama forum nyingine za zamani maana nikiandika topiki haichangamkiwi au tatizo liko kwangu mimi funzadume au jina langu baya?

Sijui tatizo ni nini lakini pia inategemea hizo posts zako unaziweka katika jukwaa lipi. Ukiziweka katika hili jukwaa la MMU basi zitachangamkiwa kama mpira wa kona. Miaka ya nyuma jukwaa la siasa ndilo lilikuwa maarufu kuliko jukwaa lolote lile hapa jamvini lakini siku za karibuni MMU imechukua numero uno na hivyo kuliacha mbali jukwaa la siasa.

nimekusoma mkuu maana siku hizi napitia majukwaa karibu yote
 
chek unaandika post znahusu nini
km zikisaund utoto/kudhalilisha watu au znazoboa lazima watu wapite juu shaaaaaaaaaaaa bila kuchangia...
vip iyo kitu mkonon ya wap?
namanga?au TUNDURU...ahh vya tarime vmepooza skuiz ..me naagiza mzigo toka VENEZUELAAAA kitu tyt kitu kinatoa high ya ajabu,...poa bas badaye....

Rose, niko na mmoja, mbegu yake toka trenchtown jamaica, hii nakwambia wenda mawinguni bila kujua........Sema, nikutumie????.
 
Naona kama natengwa humu JF au wasiwasi wangu tu sijui au ndio inaanza kupooza kama forum nyingine za zamani maana nikiandika topiki haichangamkiwi au tatizo liko kwangu mimi funzadume au jina langu baya?

Usiwe na Mawazo kama hayo, Wewe ukijisikia ingia JF, angusha mambo na ishiaaa, Watakula ama watabeba hio ni shauri yao....... huo ndo Uhuru wa mtu huruuuuu......WHERE WE DARE TALK OPENLY....
 
Ha ha ha ha ha! Funza umenichekesha jamani.
Ngoja nianze kuhamasisha watu wachangie.
Jitahidi uwe unaandika tittles nzuri halafu na wewe usimamie sredi yako.
Pole jamani, nahisi ni kiasi gani inavyokuumiza.
 
anzisha thread yenye kichwa cha habari cha kuvutia au thread ya mapenzi ila isiwe ya kuwapondea madada kama thread za fulani jina kapuni.
 
anzisha thread yenye kichwa cha habari cha kuvutia au thread ya mapenzi ila isiwe ya kuwapondea madada kama thread za fulani jina kapuni.
wanaoponda madada hawajui walitendalo nadhani ni hawa vijana wa sejkondari waliovamia jukwaa
 
Ha ha ha ha ha! Funza umenichekesha jamani.
Ngoja nianze kuhamasisha watu wachangie.
Jitahidi uwe unaandika tittles nzuri halafu na wewe usimamie sredi yako.
Pole jamani, nahisi ni kiasi gani inavyokuumiza.
natangaza rasmi nikiambiwa kuchinja kobe na mwana JF wa kwanza kukufikiria ni wewe Husninyo
 
Nilishaachaga kipindi sasa. Enzi zangu nilikuwa nazichoma kama kichaa!
itabidi siku moja nikutafute ujikumbushe mie uwa navutia mitaa ya ufukwe wa karibu na Agha Khan nikiwa nimetoka job jioni napaki mitaa ile nalipuliza narudi zangu home

na uwa tuko wengi tu pale watu kutoka wizara mbalimbali mashirika ya UMMA na NGO mpk wengine wanapiga boksi Magogoni
 
Hii kitu ya Rolya ukivuta lazima ukate mapanga watu ni kama unapandikiza kichaa kwenye ubongo

hiyo ya Venezuela sidhani kama ni kali, jaribu kutafuta kitu cha Afghanstan mwana lazima uone nyota

Ha ha ha halafu ukipeleka mahari unataka kuoa lazima upeleke na mbegu za hiyo kitu hapo kwenye avatar yako
 
Ha ha ha halafu ukipeleka mahari unataka kuoa lazima upeleke na mbegu za hiyo kitu hapo kwenye avatar yako
kama ulikuwepo Dena, watu wa kure ni noma unaambiwa vitu unavyotakiwa kupeleka kama mahari ni panga la baba, jambia la mjomba, mkuki wa babu, gobore la baba mdogo, na mbegu za Avatar ya FD
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom