Najiulizaga .....

Naona kama natengwa humu JF au wasiwasi wangu tu sijui au ndio inaanza kupooza kama forum nyingine za zamani maana nikiandika topiki haichangamkiwi au tatizo liko kwangu mimi funzadume au jina langu baya?

Tatizo nadhani ni hiyo unayoisokota.... watu wanaona pengine unapoleta mada unakuwa umesha pata stimu za mjani....:smile-big:
 

Attachments

  • marijuana_leaf.gif
    marijuana_leaf.gif
    12.8 KB · Views: 32
kama ulikuwepo Dena, watu wa kure ni noma unaambiwa vitu unavyotakiwa kupeleka kama mahari ni panga la baba, jambia la mjomba, mkuki wa babu, gobore la baba mdogo, na mbegu za Avatar ya FD

Tata mie waliambiwa waniiletee mbegu na mapanga wakashituka
kweli lakini sababu washapenda walileta kazi ilikuwa kwenye
mbegu ilibidi shemeji awatafutie walikuwa hawaijui Ha ha ha ha
 
Tata mie waliambiwa waniiletee mbegu na mapanga wakashituka
kweli lakini sababu washapenda walileta kazi ilikuwa kwenye
mbegu ilibidi shemeji awatafutie walikuwa hawaijui Ha ha ha ha
duh kule mahari lazima iwe na mapanga au gobore kwa ajili ya kwenda kutekea ng'ombe vijiji vya jirani
 
Ndo tatizo la ndumu
unajistukia stukia afu bingwa wa kuelewa na fasta memory ina-delete
Punguza kidogo mkubwa!!
wewe kweli mvutaji mwenzangu maana umenena feelings za ndani za ndumu kukumbuka na kusahau ghafla halafu ukijistukia unajicheka mwenyewe ndio maana wavuta ndumu wengi uwa tunacheka peke yetu
 
itabidi siku moja nikutafute ujikumbushe mie uwa navutia mitaa ya ufukwe wa karibu na Agha Khan nikiwa nimetoka job jioni napaki mitaa ile nalipuliza narudi zangu home

na uwa tuko wengi tu pale watu kutoka wizara mbalimbali mashirika ya UMMA na NGO mpk wengine wanapiga boksi Magogoni

Ndio maana miradi mingi, iko miguu Juu, mkiendelea hivi naona nchi ikiwa dunia ya Kwanza(FIRST WORLD)!!!
 
Back
Top Bottom