Najiuliza tu, Rais Magufuli atafanyaje Kampeni 2020?!

Najiuliza tu, Rais Magufuli atafanyaje Kampeni 2020?!

Hivi 2020 ikifika, kile kipindi cha kampeni

Najiuliza tuu hivi mheshimiwa president atakapokuwa anaomba kura zetu atatumia aina gani ya maneno yatakayotushawishi tumpe kura?

Je atasema kuwa pakitokea njaa hatotoa chakula kwa vile serikali haina shamba?

Kwamba pakitokea maafa tusitegemee msaada toka serikalini, na hata watu wakichanga misaada itapelekwa kwenye mambo ya maendeleo

Kwamba atahakikusha wote wenye vyeti feki wanaondoka kwenye ajira japo yeye haangalii kama mtu anajua kusoma A ila anayechapa kazi?

Kuwa hatoongeza mishahara wala kupandisha madaraja mpaka uzalishaji uongezeke

Mengine naomba mnisaidie kuyaongezea....

Je hizo kauli atazitoa kweli?
Kwani umesahau teknik za ccm za kutumia usahaulifu wa watanzania? Nakuambia, tena kwa uhakika kabisa ifikapo mwaka 2019 mishahara itaongezwa, vijiji vitapata mikopo, yaani fedha itatembezwa kila mahali na vizee vya kijijini vinavyovaa t-shirt za ccm zilizochanika vitaanza kumsifia mgombea wa ccm na kuahidi kumpa kura zote ingawa 2015-2018 vizee hivi vilisota kinyama!
 
Atacheza Wimbo wa TMK, atapiga push up atakimbia, Atazindua mrad mmoja mmoja mara 3, Atasema sijawahi kwenda Ulaya toka niwe rahisi, elimu ni bure kweli kweli, then atapeta.N.B km la mkaa 100 halitajadiliwa other factors remain costant

Under ceteris paribus

Itabidi acheze zilipendwa maana wanaume tmk wamesambaratika
 
Mpinzani ukiwa jukwaani ukisema ccm haijafanya kitu, unashushwa unapelekwa police station kuhojiwa uchochez
 
SWALI LA KIJINGA NA KILOFA SANA. KWANI 2015 ALIFANYAJE KAMPENI? RUBBISH

Alituambia ataongeza ajira

Wanafunzi wote watapata mikopo

Kila mwalimu atapewa laptop

Na mengine meeeengiiii

Akatuomba tumuamini na HATOTUANGUSHA(MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU)
 
Wewe endelea kulipa kodi. Tutaitumia kununua wapiga kura kama tunavyofanya kwa madiwani.
 
acheni upuuzi hamuoni standard gauge hamuoni mafly over hamjaona mabarabara yanayojengwa hamuoni vita ya rushwa ilivyopamba moto hamjaona vita dhidi ya madawa ya kulevya
 
Hivi 2020 ikifika, kile kipindi cha kampeni

Najiuliza tuu hivi mheshimiwa president atakapokuwa anaomba kura zetu atatumia aina gani ya maneno yatakayotushawishi tumpe kura?

Je atasema kuwa pakitokea njaa hatotoa chakula kwa vile serikali haina shamba?

Kwamba pakitokea maafa tusitegemee msaada toka serikalini, na hata watu wakichanga misaada itapelekwa kwenye mambo ya maendeleo

Kwamba atahakikusha wote wenye vyeti feki wanaondoka kwenye ajira japo yeye haangalii kama mtu anajua kusoma A ila anayechapa kazi?

Kuwa hatoongeza mishahara wala kupandisha madaraja mpaka uzalishaji uongezeke

Mengine naomba mnisaidie kuyaongezea....

Je hizo kauli atazitoa kweli?
Mkuu watanzania ni mbumbumbu!.majaliwa jana alianza kuwaset watumishi! Yule steve nyerere sasa yupo vijijini na kundi lake ati wahubiri uzaleno! Uzalendo tangu lini unahubiriwa?
 
acheni upuuzi hamuoni standard gauge hamuoni mafly over hamjaona mabarabara yanayojengwa hamuoni vita ya rushwa ilivyopamba moto hamjaona vita dhidi ya madawa ya kulevya
Vita ya rushwa ipambe moto wapi! Huku wilayani watu wanachukuliwa hatua kuangalia nani kazaliwa wapi co kafanya kosa gani? Kwenue hiyo vita ya rushwa mbona aliyenunua kivuko na kuuza nyumba za umma hatajwi
 
acha kuropoka na stori za mtaani nyumba aliuza sumaye dawa yake inachemka
 
Kuna ma ccm mkuu hao Ndo adui zetu namba moja ktk nchi hii.wao hawafikirii chochote muda ukifika watavaa kijani na kulinda maslahi ya chama watasahau yote.
Wasio na akili ni mzigo kwa wenye akili.
Wewe una akili gani ya maana. Wenzio waliwatangazia wananchi kuhusu ufisadi wa Bwana Fulani kwa miaka 8. Baada wakageuka kuwaambia wananchi kuwa Bwana Yule ni MALAIKA. Nyumbu wa upande ule wakaamini na kuanza kudeki barabara na wengine kuigiza kuzimia kwa mahabat ya mtu aliyetangazwa fisadi kwa miaka 8.
 
Huyu ndie laisi tunae mtaka wegi kwahio nawaomba watu acheni kumjadili fanjieni Wana nchiwenu maendereo siokukicha mnasema ooo wenzenu wanachapakazi mtapoteza mwelekeo sana
DUH KIINGEREZA SHIDA HATA KISWAHILI NI SHIDA-LAISI AU RAIS
 
STEVE
Mkuu watanzania ni mbumbumbu!.majaliwa jana alianza kuwaset watumishi! Yule steve nyerere sasa yupo vijijini na kundi lake ati wahubiri uzaleno! Uzalendo tangu lini unahubiriwa?
STEVEN NYERERE NJAA YAKE IMEMTUMA HAKUNA ALIYEMTUMA.KUIGIZA HAIWEZI NA KUCHEKESHA HAJUI SASA IKABIDI AJIONGEZE.HUU NI MUDA WA VI-WONDER AMEFUNGUA CHA KWAKE KIWANDA CHA TIMU UZALENDO.NI FURSA ANAITUMIA VIZURI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom