evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,335
Ukawa njia nyeupeeeee...
Makinikia sio maada tena...na sijaona hoja ya msngi kwa huyu bwana jpm
Makinikia sio maada tena...na sijaona hoja ya msngi kwa huyu bwana jpm
Yes! Shida NEC ndio wavurugao mipangoHakujua kipi kitakuja baada ya aliyoyaongea
Watanzania waone na waamue
Tukimpiga chini watakaofata watajifunza
polisi ccm unawajua wewe? ngoja utaonaHivi 2020 ikifika, kile kipindi cha kampeni
Najiuliza tuu hivi mheshimiwa president atakapokuwa anaomba kura zetu atatumia aina gani ya maneno yatakayotushawishi tumpe kura?
Je atasema kuwa pakitokea njaa hatotoa chakula kwa vile serikali haina shamba?
Kwamba pakitokea maafa tusitegemee msaada toka serikalini, na hata watu wakichanga misaada itapelekwa kwenye mambo ya maendeleo
Kwamba atahakikusha wote wenye vyeti feki wanaondoka kwenye ajira japo yeye haangalii kama mtu anajua kusoma A ila anayechapa kazi?
Kuwa hatoongeza mishahara wala kupandisha madaraja mpaka uzalishaji uongezeke
Mengine naomba mnisaidie kuyaongezea....
Je hizo kauli atazitoa kweli?
Hivi mkuu nawe unaamini kavuruga maisha ya watu 12,000 tu? Ajira shida, bomoa bomoa, nyongeza ya mishahara, lugha chafu bukoba, na uchafu mwingine mwingi ni dhidi ya hao watu 12,000 tu? Akiendelea kujidanganya hivi hatoamini kitakachomkuta kwenye kampeni 2020.wala haitaji hata kampeni huko ni kupoteza ela tu ,tutamshauri akae Ikulu asubiri kuapishwa tu,ila kama wewe upo kwenye ile list ya 12,000 lazima ufikirie hivyo bwana kaka.
Atafanya na magari ya maji ya kuwasha, fanya fujo uchapwe, makarani watakuwa wajeda, marufuku kwenda kwenye kampeni za vyama pinzani mnahatarisha amani,Wapinzani ni wachochezi watawekwa under house arrest.nk nk
Kagera ndo kaipoteza tayari, sasa hivi anachokonoa nzega, mtama na singidaHivi kagera bado watampa?
Hahahaha! Hii kweli ni bajeti ya kunguruMis namuomba mh.Rais wetu na kipenzi chetu JPM mwaka 2020 wala asihangaike kupiga kampeni yeye atujulishe kuwa anagombea tena baaasi biashara kwisha.
wakurugenzi wa wilaya zote ni wateule wa rais, makatibu tawala wa mikoa na wilaya, wakuu wa mikoa na wilaya, mwenyekiti wa tume ya uchaguzi, jaji mkuu n.k. hapo sasaHivi 2020 ikifika, kile kipindi cha kampeni