Najiuliza tu, Rais Magufuli atafanyaje Kampeni 2020?!

Najiuliza tu, Rais Magufuli atafanyaje Kampeni 2020?!

Hivi mkuu nawe unaamini kavuruga maisha ya watu 12,000 tu? Ajira shida, bomoa bomoa, nyongeza ya mishahara, lugha chafu bukoba, na uchafu mwingine mwingi ni dhidi ya hao watu 12,000 tu? Akiendelea kujidanganya hivi hatoamini kitakachomkuta kwenye kampeni 2020.

Akitaka kuamini kwamba mambo yatakuwa magumu aruhusu mikutano kwa wapinzani hata kwa wiki 2 tu...
ndoto mchana ,na mwenyewe ana timing zake pia ukiboreshewa leo unasahau yote ya nyuma
 
Hivi 2020 ikifika, kile kipindi cha kampeni

Najiuliza tuu hivi mheshimiwa president atakapokuwa anaomba kura zetu atatumia aina gani ya maneno yatakayotushawishi tumpe kura?

Je atasema kuwa pakitokea njaa hatotoa chakula kwa vile serikali haina shamba?

Kwamba pakitokea maafa tusitegemee msaada toka serikalini, na hata watu wakichanga misaada itapelekwa kwenye mambo ya maendeleo

Kwamba atahakikusha wote wenye vyeti feki wanaondoka kwenye ajira japo yeye haangalii kama mtu anajua kusoma A ila anayechapa kazi?

Kuwa hatoongeza mishahara wala kupandisha madaraja mpaka uzalishaji uongezeke

Mengine naomba mnisaidie kuyaongezea....

Je hizo kauli atazitoa kweli?

Hana haja tena ya kuzunguka Mikoa yote Tanzania. POLISI , USALAMA WA TAIFA NA JESHI VINATOSHA KWAKE KUMUWEKA MADARAKANI 2020.

KAGAME MWALIMU MZURI, Museveni ni refarii tosha, Kabila ni mshauri mahsusi, Mkurunsiza ni shabiki wa damu. Utapita wapi hapoooooooo.
 
kuna Kiongozi alimwambia mwenzake anaongoza maiti yy anaongoza wagonjwa mahututi
sijajua wagonjwa! wana Hali gani na kama hizo maiti washazika au lah
 
Hivi 2020 ikifika, kile kipindi cha kampeni

Najiuliza tuu hivi mheshimiwa president atakapokuwa anaomba kura zetu atatumia aina gani ya maneno yatakayotushawishi tumpe kura?

Je atasema kuwa pakitokea njaa hatotoa chakula kwa vile serikali haina shamba?

Kwamba pakitokea maafa tusitegemee msaada toka serikalini, na hata watu wakichanga misaada itapelekwa kwenye mambo ya maendeleo

Kwamba atahakikusha wote wenye vyeti feki wanaondoka kwenye ajira japo yeye haangalii kama mtu anajua kusoma A ila anayechapa kazi?

Kuwa hatoongeza mishahara wala kupandisha madaraja mpaka uzalishaji uongezeke

Mengine naomba mnisaidie kuyaongezea....

Je hizo kauli atazitoa kweli?
lakini kumbuka alishasema yeye hajaribiwi, kuna mtu atathubutu kwenda kwenye mikutano yake kuzomea au kuzungusha mikono?? hahahahah.
 
Nachojua wakati wa uchaguzi ukifika ukiongelea neno uchaguzi utitwa mchochezi
 
Katiba ya JMT inasema hivyo(uchaguzi mkuu kila baada ya miaka mitano),wewe hujui hilo au ndiyo wale wanaolilia miaka saba(Nkamia type-go to hell)!
Katiba inasema, haki hupatokana mahakamani, rejea court order kwenda kwa Tanroad,,
Katiba inasema mtumishi wa umma ana haki ya kupanda madaraja, rejea hotuba mkutano wa ALAT

Katiba inasema kufoji cheti ni kosa la jinai, rejea hotuba ya mtukufu mkitano wa ALAT
 
Kwahiyo ninyi ni wageni nchi hii au?

Maswali kama hayo yalikuwepo pia kabla ya Jk
 
Kwan hata sasa si anafanya kampeni! Na maneno yake ni yale yale ya kujirudia rudia;
Bomba ndia,
Wafanyakazi hewa;
Vyeti feki;
Mishahara kwa wakati.

Yaani yale yale,na kimsingi wananchi washajua ni uongo na kufanyana mafala.

Wamechoka kuyasikia,ukiona wanajazana kumsikiliza ni comedi ndio wanafuata tuu.
 
Hivi 2020 ikifika, kile kipindi cha kampeni

Najiuliza tuu hivi mheshimiwa president atakapokuwa anaomba kura zetu atatumia aina gani ya maneno yatakayotushawishi tumpe kura?

Je atasema kuwa pakitokea njaa hatotoa chakula kwa vile serikali haina shamba?

Kwamba pakitokea maafa tusitegemee msaada toka serikalini, na hata watu wakichanga misaada itapelekwa kwenye mambo ya maendeleo

Kwamba atahakikusha wote wenye vyeti feki wanaondoka kwenye ajira japo yeye haangalii kama mtu anajua kusoma A ila anayechapa kazi?

Kuwa hatoongeza mishahara wala kupandisha madaraja mpaka uzalishaji uongezeke

Mengine naomba mnisaidie kuyaongezea....

Je hizo kauli atazitoa kweli?
hahahaha imenibidi nicheke kama mwehu aisee woyooooooooh
 
Ikifika 2020 kwa mwendo huu hakutakuwa na wapinzani! Watu wasiojulikana si unaona wanachokifanya? Japo serikali niipongeze kwa kuendelea kuwatafuta watu wasiojulikana walikojificha!
Huku wameshindwa kumtumia Harmorapa na alikuwa pale akishudia mguu wa kuku ukitolewa
 
HUKU MIJINI UPINZANI TUMESHA WEKA SAWA,TATIZO VIJIJINI KWA HALI ILIVO,VIJIJINI TUNA HITAJI NUSU YAKE TUU.
Yaani UKAWA tukiweza kuikata mikoa ya pembezoni kwa NUSU tuu,CCM haipo.
 
Jamani mwenye email ya ccm anisaidie pls pm nna shida nayo nmeanzsha thread but imefutwa sijui kwanini ila mwenye nayo ani pm hata ya hon. Polepole pia... Pm guys sio hapa
Hebu tuondolee laana hapa
 
Shida yetu sisi wabongo tuna vichwa kama ya panzi, tunasahu asubuhi kweupeeeeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom