Najiuliza tu, Rais Magufuli atafanyaje Kampeni 2020?!

Najiuliza tu, Rais Magufuli atafanyaje Kampeni 2020?!

Hivi 2020 ikifika, kile kipindi cha kampeni

Najiuliza tuu hivi mheshimiwa president atakapokuwa anaomba kura zetu atatumia aina gani ya maneno yatakayotushawishi tumpe kura?

Je atasema kuwa pakitokea njaa hatotoa chakula kwa vile serikali haina shamba?

Kwamba pakitokea maafa tusitegemee msaada toka serikalini, na hata watu wakichanga misaada itapelekwa kwenye mambo ya maendeleo

Kwamba atahakikusha wote wenye vyeti feki wanaondoka kwenye ajira japo yeye haangalii kama mtu anajua kusoma A ila anayechapa kazi?

Kuwa hatoongeza mishahara wala kupandisha madaraja mpaka uzalishaji uongezeke

Mengine naomba mnisaidie kuyaongezea....

Je hizo kauli atazitoa kweli?
wala haitaji hata kampeni huko ni kupoteza ela tu ,tutamshauri akae Ikulu asubiri kuapishwa tu,ila kama wewe upo kwenye ile list ya 12,000 lazima ufikirie hivyo bwana kaka.
 
Mkuu ninasikitika na kushangaa sana usaliti anaoufanya mkulu. Najiuliza hivi huyu kamanda ndiye yule aliyesota kwenye kampeni 2015? Watz walimuamini lakini leo hii kasahau kabisa!


Hakujua kipi kitakuja baada ya aliyoyaongea

Watanzania waone na waamue

Tukimpiga chini watakaofata watajifunza
 
wewe na bavicha wenzako endeleeni tu kujiuliza wakati ccm inaendelea kufanya yake.
 
Hivi 2020 ikifika, kile kipindi cha kampeni

Najiuliza tuu hivi mheshimiwa president atakapokuwa anaomba kura zetu atatumia aina gani ya maneno yatakayotushawishi tumpe kura?

Je atasema kuwa pakitokea njaa hatotoa chakula kwa vile serikali haina shamba?

Kwamba pakitokea maafa tusitegemee msaada toka serikalini, na hata watu wakichanga misaada itapelekwa kwenye mambo ya maendeleo

Kwamba atahakikusha wote wenye vyeti feki wanaondoka kwenye ajira japo yeye haangalii kama mtu anajua kusoma A ila anayechapa kazi?ta

Kuwa hatoongeza mishahara wala kupandisha madaraja mpaka uzalishaji uongezeke

Mengine naomba mnisaidie kuyaongezea....
Tatizo letu sisi watanzania ni kwamba tulizoea kudanganywa kwa miaka na miaka. Tukazoeshwa lugha tamu na laini tukiamini ndio ustaarabu wenyewe.

Kwa kweli ni ustaarabu mbovu sana, kwani kutoambiana ukweli kumechangia katika huu umasikini mwingi uliozagaa kila kona. JPM anaongea anachokiona ni ukweli, kama kinakufurahisha au kukuchukiza, kwake jukumu linakuwa limetimizwa.

Na usiangalie upande wa kauli zake tu, je utekelezaji wa anachokiongea una matatizo yoyote yale?. Huyo anayeambiwa kuwa hakuna chakula cha bure, watoto wake wanaosoma shule ya msingi wanalipia ada?. Hakujengwi zahanati katika kata anayoishi?.

Tusiangalie kauli tu, tuangalie na utekelezaji wa kile kilichoahidiwa mwaka 2015.
 
Kafanye analysis kujua kula ziko wapi na wapiga kura ni akina nani? kama kawaida Dar, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, Zanzibar-esp Pemba , upinzani watapata kura za kutosha, usitegemee nje hapo kuna kura zao za kutosha, magufuli atabeba huko kuliko salia, na ndio kuna wapiga kura wengi.
a


Hivi kagera bado watampa?
 
Hivi 2020 ikifika, kile kipindi cha kampeni

Najiuliza tuu hivi mheshimiwa president atakapokuwa anaomba kura zetu atatumia aina gani ya maneno yatakayotushawishi tumpe kura?

Je atasema kuwa pakitokea njaa hatotoa chakula kwa vile serikali haina shamba?

Kwamba pakitokea maafa tusitegemee msaada toka serikalini, na hata watu wakichanga misaada itapelekwa kwenye mambo ya maendeleo

Kwamba atahakikusha wote wenye vyeti feki wanaondoka kwenye ajira japo yeye haangalii kama mtu anajua kusoma A ila anayechapa kazi?

Kuwa hatoongeza mishahara wala kupandisha madaraja mpaka uzalishaji uongezeke

Mengine naomba mnisaidie kuyaongezea....

Je hizo kauli atazitoa kweli?

Kauli za JPM zina utata, lakini vipi kuhusu kile anachokiahidi kwenye kampeni, hakitekelezwi?.

Yule anayeambiwa hakuna chakula cha bure, watoto wake wanaosoma shule ya msingi, wanalipa ada?.

Hakuna ujenzi wa zahanati kwenye kata anayoishi huyo anayeambia afanye kazi ili aweze kuishi?.

Wapiga kura huangalia mengi sana na sio hizi siasa za kauli za rais kutowafurahisha baadhi ya watumiaji wa mitandao ya habari.
 
Huyu ndie laisi tunae mtaka wegi kwahio nawaomba watu acheni kumjadili fanjieni Wana nchiwenu maendereo siokukicha mnasema ooo wenzenu wanachapakazi mtapoteza mwelekeo sana


Maendeleo ni wajibu wa serikali na siyo wa chama
 
Magu anajiandaa, yeye na team yake ya watu wachache sana anajiandaa kweli kweli. Anakusanya fedha kutoka kila kona kadri inavyowezekana.... kwa maono yangu atakachokifanya labda tuseme mwaka mmoja kabla ya uchaguzi anaweza akagawa hizo milioni 50 kwa kila kijiji na ghafla akapandisha mishahara ya wafanyakazi na madaraja, ataongeza ajira kadhaa na kuongeza mfuko wa mikopo kwa wanafunzi. watanzania ni watu wa kusahau na kuridhika kwa shibe ya siku moja , ataingia kwenye uchaguzi kwa nguvu na upinzani usipojipanga kuanzia sasa na hasa huko vijijini ambako hakuna JF wala twitter..... magu anaweza kushinda tena..... ni maono yangu binafsi kutoka na ninachokiona.
 
acheni upuuzi hamuoni standard gauge hamuoni mafly over hamjaona mabarabara yanayojengwa hamuoni vita ya rushwa ilivyopamba moto hamjaona vita dhidi ya madawa ya kulevya


Kwani kununua madiwani sio rushwa

Hiyo vita ya madawa nani kakutwa na hatia?
 
Natamani karatasi za kura ziwe na picha yake tu, na chumba tupu, ili kama humtaki unapiga tiki kwenye empty
 
2020 hakuna uchaguzi!!! Nani amekwambia kutakuwa na uchaguz,wa kushindana na nani kw haya mazuri aliyoyafanya??!!
 
Maswal mengine bwana...
Yale yale tu...atawambia ataongeza mishahara, atapambana na mafisadi, mikopo kwa wanachuo itaongezeka maradufu
 
2920 hakuna uchaguzi hakuna kama Congo ya Kabila.
 
Kwa mwenendo wa demokrasia iliyopo hapo Tanzania, Magufuli atashinda Uraisi bila hata kampeni maana hakuna uchaguzi huru tena
 
Hivi 2020 ikifika, kile kipindi cha kampeni

Najiuliza tuu hivi mheshimiwa president atakapokuwa anaomba kura zetu atatumia aina gani ya maneno yatakayotushawishi tumpe kura?

Je atasema kuwa pakitokea njaa hatotoa chakula kwa vile serikali haina shamba?

Kwamba pakitokea maafa tusitegemee msaada toka serikalini, na hata watu wakichanga misaada itapelekwa kwenye mambo ya maendeleo

Kwamba atahakikusha wote wenye vyeti feki wanaondoka kwenye ajira japo yeye haangalii kama mtu anajua kusoma A ila anayechapa kazi?

Kuwa hatoongeza mishahara wala kupandisha madaraja mpaka uzalishaji uongezeke

Mengine naomba mnisaidie kuyaongezea....

Je hizo kauli atazitoa kweli?
Viboko vingi shuleni vilitufanya mazezeta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom