Najiuliza tu, Rais Magufuli atafanyaje Kampeni 2020?!

Najiuliza tu, Rais Magufuli atafanyaje Kampeni 2020?!

Kampeni for what?Jinsi anavyopendwa na watanzania kwa maendeleo ya viwanda,na uchamungu wake pamoja na kudumisha haki na umoja wakitaifa,sidhani kama kuna haja ya kampeni.
 
UmeongeA kwa hisia ndugu
Mkuu ninasikitika na kushangaa sana usaliti anaoufanya mkulu. Najiuliza hivi huyu kamanda ndiye yule aliyesota kwenye kampeni 2015? Watz walimuamini lakini leo hii kasahau kabisa!
 
Hivi 2020 ikifika, kile kipindi cha kampeni

Najiuliza tuu hivi mheshimiwa president atakapokuwa anaomba kura zetu atatumia aina gani ya maneno yatakayotushawishi tumpe kura?

Je atasema kuwa pakitokea njaa hatotoa chakula kwa vile serikali haina shamba?

Kwamba pakitokea maafa tusitegemee msaada toka serikalini, na hata watu wakichanga misaada itapelekwa kwenye mambo ya maendeleo

Kwamba atahakikusha wote wenye vyeti feki wanaondoka kwenye ajira japo yeye haangalii kama mtu anajua kusoma A ila anayechapa kazi?

Kuwa hatoongeza mishahara wala kupandisha madaraja mpaka uzalishaji uongezeke

Mengine naomba mnisaidie kuyaongezea....

Je hizo kauli atazitoa kweli?
Mh!
 
KAMPENI AMESHAANZA WEWE SUBIRI TU MWAKA 2020.MWAKA HUO ATAKUWA ANAZINDUA AWAMU YA MWISHO YA TRENI YA MWENDO KASI MWANZA NA KIGOMA NA UMEME WA STIGLERS G UTAKUWA UMESHASAMBAZWA TANZANIA NZIMA KWA BEI YA SHS 100 KWA UNIT
 
KWANI MIAKA SABA ITAKUWA TAYARI IMEKWISHA ALIYEKUAMBIA KUTAKUWA UCHAGUZI MWAKA 2020 NI NANI NA UNAJUA HUA SIPENDI KUPANGIWA VITU.BAADA YA MIAKA SABA NDIO SIASA NA KAMPENI ZITAANZA NGOJA ASAFISHE NCHI KWANZA
 
Kununua ndege kiholela pasipo bunge kupitia mikataba ya ununuzi, kujenga uwanja wa ndege chato kwa kuchukua pesa Hazina kienyeji

Ana maswali mengi sana ya kutujibu
 
kwani wanaompigia makofi ni akina nani hao?
ni watu kama ninyi mkuu. ambao kiukweli ni wachawi, mlichokosa ni zana tu.

mtu yeyote anayetamani watu wote waishi kimasikini (kama shetani) hana tofauti na mentality ya wachawi!!
 
Kampeni for what?Jinsi anavyopendwa na watanzania kwa maendeleo ya viwanda,na uchamungu wake pamoja na kudumisha haki na umoja wakitaifa,sidhani kama kuna haja ya kampeni.
hahahahaha.Msema kweli mpenzi wa Mungu.Hahhahahah.sukari imeshuka bei toka elfu tano kwa kilo.hahahahah.msema kweli mpenzi wa mungu.dah.CCM mkiongozwa na jingalao piga makofi tafadhaliiiiii
 
Nani kakwambia twente twente kuna uchaguzi?
"Hatuwezi kupoteza fedha za wananchi kufanya uchaguzi. Uchaguzi utafanyika uchumi ukiwa mzuri. Mimi ndio Rais wa nchi hii, naelewa kila kitu."
 
Kafanye analysis kujua kula ziko wapi na wapiga kura ni akina nani? kama kawaida Dar, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, Zanzibar-esp Pemba , upinzani watapata kura za kutosha, usitegemee nje hapo kuna kura zao za kutosha, magufuli atabeba huko kuliko salia, na ndio kuna wapiga kura wengi.
a
 
Mkuu watu huwa wasahaulifu. Akilegeza kidogo tu 2019/20 njia nyeupe [emoji3]

Alegeze kwani amekaza?

Mambo magumu mpk kwake ndio maana anatoa vitisho ili kutufunga midomo

Imagine unabana matumizi to the maximum but still mapato yanazidi kushuka

Ataachia kwa pesa ipi iliyokusanywa?
 
Ikifika 2020 kwa mwendo huu hakutakuwa na wapinzani! Watu wasiojulikana si unaona wanachokifanya? Japo serikali niipongeze kwa kuendelea kuwatafuta watu wasiojulikana walikojificha!

Na ww unaamini kabisa kuwa watu WASIOJULIKANA WANAJITAFUTA
 
Huyu ndie laisi tunae mtaka wegi kwahio nawaomba watu acheni kumjadili fanjieni Wana nchiwenu maendereo siokukicha mnasema ooo wenzenu wanachapakazi mtapoteza mwelekeo sana
 
Baba J. ameibuka na maneno 2 ndio kauli mbiu mpya. Uzalendo, msaliti na tumechelewa kweri kweri.

Kampeni zikifika atapiga push ups na kujigaragaza ili wanyonge wake wampe "kula".

Hiyo ya push-ups ni zilipendwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom