Najiuliza sana lakini sipati majibu!!!!!!!!!!!!!!!!!

zanzsco

Senior Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
161
Reaction score
45
Huwa najiuliza sana kwann wanaume hawawezi kumtokea binti bila kujishusha ila lazima ajisifie sana ooh mm lunch serena, nko site nafyetua matofali yaani kwa ufupi lazima ajioneshe yuko kwenye maisha flani mazuri, hata kama yuko kwenye shida???

Kwani ukiwa simple huwez kukubalika, kwa upande wangu ukija na ooh mm cjui nn ni ngumu kukubali coz aliyenacho haongei bali "ACTION SPEAKS LOUDER THAN WORDS!" kwa mda mfupi utajua tu hata bila yy kusema!!!!!

weka akilini kwamba "u cant act forever" and girls dont fall for things dat is y most men do "hit 'n' run"!!!!!

Enjoy ur day mmu crew!!!!
 
Umedanganya, mlio wengi ukiwemo na wewe lazima utaangalia mwanaume mwenye future eti. Wanaume wanadanganya kwa sasa ndivyo mnavyopenda kusikia.
 
Wanawake walio wengi wakiambiwa ukweli hawaamini. Mpaka uwadanganye ndo wanaamini na kukukubali haraka
 
Huwa najiuliza sana kwann wanaume hawawezi kumtokea binti bila kujishusha ila lazima ajisifie sana ooh mm lunch serena, nko site nafyetua matofali yaani kwa ufupi lazima ajioneshe yuko kwenye maisha flani mazuri, hata kama yuko kwenye shida???

Kwani ukiwa simple huwez kukubalika, kwa upande wangu ukija na ooh mm cjui nn ni ngumu kukubali coz aliyenacho haongei bali "ACTION SPEAKS LOUDER THAN WORDS!" kwa mda mfupi utajua tu hata bila yy kusema!!!!!

weka akilini kwamba "u cant act forever" and girls dont fall for things dat is y most men do "hit 'n' run"!!!!!

Enjoy ur day mmu crew!!!!

Bila kuwadanganya hao huwa huwezi kuwapata, eti unatoka zako hukoo na unakutana na Passion Lady, AU Heaven on earth AU Mamndenyi au amu au Ablessed au King'asti au Evelyn Salt au mimisa halafu unamwambia, nataka nikakugegede leo tu na wala sina kitu, na tukimaliza hapo nakumwaga.... THUBUTU YAKO KAMA UTAMPATA
 
utapeli wa mapenzi ni mbaya sana..na kwa nn umtake mtu kwa ajili ya kumtumia tuu na kisha kumbwaga?,tabia mbaya tu
Lakini si anakuwa amekuambia kabla? Shida yenu huwa mnaweka mategemeo makubwa sana mnapoanzisha mahusiano mapya...
 
Wanawake wanapishana. wanaume wanawasoma kwanza wanawake then wanaona ni kipi kinaweza kumfanya huyo mwanamke amkubali. Kuna wanawake wanao wakubali wanaume
kwa uwezo wao wa kutoa starehe (ndio hao wa serena).
wengine hawapendi sana vya kwenda out nakuonekana in public.
(maybe hawataki waonekane na A when they are also with B?)
wanapenda zawadi expensive. a Bvlgari or a Tyffani ring, ati? lol.
Wengine hawastuki na material thingd, wanataka mwanaume atakae waoa,
so hapa unakuta mwanaume anaji-present in a way kwamba he is ready to settle.
wanawake wengine are moved by the intellect, they like "brilliant guys"
hapa mwanaume anamwaga ma-knowledge utasema kamusi ya quantum physics.
wengine tena are moved with fame, mwanaume akikaa anapiga sim,
mara "hi Presidaa", au "Hi balozi", "hi Diamond", lazima mtu maarufu...
Ukitongoza ni kama ndege anavo tongoza: you try to convince her that she needs you...
 
Hizo ni swagga za masharouharo....mimi na hao watu hapana kwakweli
mwanaume wa ukweli hawezi kuongea hayo maneno!!!

aah kweli, weekend vp lakini ............!
Mie huwa natongoza huku nimeshaweka tent kwenye suruali kwa hiyo akiiona hali yangu tu anahemuka kunipa......!
Asante..........!:nod:
 
si mbaya..ila ujue si wote wanaotaka kuchezeana chezeana na kupozeana wakati..
Lakini si anakuwa amekuambia kabla? Shida yenu huwa mnaweka mategemeo makubwa sana mnapoanzisha mahusiano mapya...
 
mimi huwa najishusha sana. kuna mmoja nilimtokea kwa design ya kujishusha siku alipokuja kujua ukwli hakuamini
 
Wanawake wanapishana. wanaume wanawasoma kwanza wanawake then wanaona ni kipi kinaweza kumfanya huyo mwanamke amkubali. Kuna wanawake wanao wakubali wanaume
kwa uwezo wao wa kutoa starehe (ndio hao wa serena).
wengine hawapendi sana vya kwenda out nakuonekana in public.
(maybe hawataki waonekane na A when they are also with B?)
wanapenda zawadi expensive. a Bvlgari or a Tyffani ring, ati? lol.
Wengine hawastuki na material thingd, wanataka mwanaume atakae waoa,
so hapa unakuta mwanaume anaji-present in a way kwamba he is ready to settle.
wanawake wengine are moved by the intellect, they like "brilliant guys"
hapa mwanaume anamwaga ma-knowledge utasema kamusi ya quantum physics.
wengine tena are moved with fame, mwanaume akikaa anapiga sim,
mara "hi Presidaa", au "Hi balozi", "hi Diamond", lazima mtu maarufu...
Ukitongoza ni kama ndege anavo tongoza: you try to convince her that she needs you...

^^
Da! Nimekosa kundi hapo, Mwali
^^
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke huwa haamini ukwelu hata siku moja. We mdanganye tu. Atakuamini.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom