Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
Ndo ukweli huo Mamndenyi. Bila uwongo huwa hampatikani... Yaani mi nije nikuorodheshee shida nilizonazo halafu mwisho nikuambie nina genye, sijui kama utanielewa... Lakini nikija na MENGI baba yangu, JK kaowa mdogo wangu, halafu Mkuu wa majeshi jirani yetu, mara napokea simu halafu naanza kwa kusema, ... HIVI WE CHENGE, ZILE MILIONI THEMANINI ULIZOKOPA UTARUDISHA AU NIKUSAMEHE..???....ha ha haaaa Ngalikihinja jamani