Kama unajua sheria na ni mpenda haki nenda kamuwakilishe Lulu. Lakini naona hakuna kesi ya kujibu pale faili likipelekwa kwa DPP litarud hakuna kesi ya kujibu pale. Si ilikuwa self defence ile? or either accident?
Wewe hapa umejipanga kitu gani?.....unataka kumsaidia Lulu fine is up to you, nenda pale Police ukamueleze nia yako ya kumsaidia unapokuja kuuliza hapa jamvini ili iweje? au mnafurahia porojo zitawale muda wote hapa?
sijaona ubaya wakutangaza hapa, nadhani ni vema tumpe ushauri kwa hiyo nia yake.
Nadhani hapa jf ni mahali stahili kabisa.
u hate her,lakini chumbani kwako ndio muangaliaji mkubwa wa filamu zake!!
Sio mtaalamu wa sheria, lakini vipi kuhusu kosa la 'kuua bila kukusudia'?Kama unajua sheria na ni mpenda haki nenda kamuwakilishe Lulu. Lakini naona hakuna kesi ya kujibu pale faili likipelekwa kwa DPP litarud hakuna kesi ya kujibu pale. Si ilikuwa self defence ile? or either accident?
toka kanumba amefariki sioni mtu yeyeto anayemsema vizuri binti huyu,lawama zote zipo juu yake kwa vile tu alikuwa wa mwisho kuwa nae!kwangu ni kama kuangukiwa na jumba bovu,anajitolea kumpa msaada wa kisheria bure kunusuru maisha ya mtoto huyo japo nako ni mapepe,kaliambiwa katulie kasome wapi!!anyone with the same idea?umoja ni nguvu

teh teh teh watajitolea kuwa mawakili malipo yake yatafanyikia kizaniBinti sio mchoyo wa fadhila ati.
Mimi nitajitolea kumpa ushauri wa kisaikolojia ili abadilike na aache huo mwenendo wake mbaya.
hatua zimeishachukuliwa mdogo wanguACHENI MANENO MENGI KTK MITANDAO
nimemsikia mama yake lulu(mama kalugira) akilalamika kuwa mpaka leo hii haja mwona mtu anaehusika na mambo ya kisheria kwenda kumsaidia,kwani ktk kipindi hiki cha mahojiano na polisi alihitaji sana msaada wa wanasheria kutokana na umri wake,lakini nyie mmebaki kupiga kelekele ktk mitandao ya kijamii