chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,037
- 3,080
usiangalie tu.. Take actionMi naangalia tu! 😎.
Ngoja niangalie kwanza.usiangalie tu.. Take action
kwanini mkuuKumbe nawe mkuu ni TISS!
Unawatafuta uwang'oe kucha.kwanini mkuu
mimi ni FBIUnawatafuta uwang'oe kucha.
Poa Mkuu.mimi ni FBI
ukisema "TISS" unanidogosha, lakini nafurahi kuona mitazamo fulaniPoa Mkuu.
Cc: mentorSawa, uje unambie n biashara gn Naweza kuwekeza bila kuwa na mtaji wowote na faida iwe ya chap kwa haraka
Natamani nibadili tabia yangu. Utaratibu ukoje?kama unataka kuwa na personal development, au unatafuta mtu wa kukuelekeza kwenye mambo mbalimbali kupitia falsafa. basi mimi ninajitolea kua mentor
nitawaongoza watu wawili kwa mwaka mzima
mentor wangu Mr Rohn alisema don't wish for less challenges, wish for more skills.
don't wish for less problems, wish for more wisdom